Viongozi wetu hizi sura za kukata tamaa zitawavunja mioyo wananchi

Viongozi wetu hizi sura za kukata tamaa zitawavunja mioyo wananchi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1616950015576.png

Kiongozi ni kioo cha jamii, anatakiwa ajiamini na kuwapa matumaini anao waongoza.
 
View attachment 1736955
Kiongozi ni kioo cha jamii, anatakiwa ajiamini na kuwapa matumaini anao waongoza.
Adui akitaka kushambulia mahala anapiga kiongozi ili wale waliochini watawanyike then aweze kupenyesha mambo yake.

Biblia inasema Shetani atampiga mchungaji na kondoo watatawanyika...!!!

Tumuombee sana Mama Samia katika hili la sivyo tutabaki katika Historia kama ilivyokawa kwa Nyerere kiwa aliacha hivi na hivi lakini sasahivi vyote vimekufa..! Mwisho wa yote UVIKO ni adui mkubwa ambae yupo nyuma ya watu fulani kutekeleza ajenda zao.
 
Back
Top Bottom