Inabidi itambuliwe kwa output sio makaratasi maana hata mkurugenzi wa tanesco nae ana PhDHiki ni kilio Cha miaka mingi kwa watumishi wa umma, wamekuwa wakiomba Shahada ya Pili na PhD itambuliwe kimaslahi kwenye Baadhi ya idara bila mafanikio yoyote, huko Tamisemi Tunaomba mlichakate Jambo hili.
"Najua hili swala akifikishiwa Rais wetu mpendwa, Dr. SSH, ataagiza lifanyiwe kazi Mapema"
Tuseme ukweli jamani, kufundisha watoto wa Vidudu hadi Darasa la Sita na wale wa Kidato cha kwanza hadi Sita, Workload yake haiihitaji PhD wala Master Degree mkuu. Hivi kitendo cha kushika Chaki unataka uwe na PhDHiki ni kilio Cha miaka mingi kwa watumishi wa umma, wamekuwa wakiomba Shahada ya Pili na PhD itambuliwe kimaslahi kwenye Baadhi ya idara bila mafanikio yoyote, huko Tamisemi Tunaomba mlichakate Jambo hili.
"Najua hili swala akifikishiwa Rais wetu mpendwa, Dr. SSH, ataagiza lifanyiwe kazi Mapema"
Mseme ukweli na nani Sasa🤣 kwani sifa ya kufundisha watoto inahitaji kiwango gani Cha ElimuTuseme ukweli jamani, kufundisha watoto wa Vidudu hadi Darasa la Sita na wale wa Kidato cha kwanza hadi Sita, Workload yake haiihitaji PhD wala Master Degree mkuu. Hivi kitendo cha kushika Chaki unataka uwe na PhD
Mtu mwanasiasa unataka kuwa rais, unaenda kusoma Ph.D ya Chemistry.PhD inatambulika katika siasa tuu
Walimu pekee ndo huonekana wanalalamikia Sana maslahi ya kimishahara, na ww mchangiaji una mentality hiyo.Tuseme ukweli jamani, kufundisha watoto wa Vidudu hadi Darasa la Sita na wale wa Kidato cha kwanza hadi Sita, Workload yake haiihitaji PhD wala Master Degree mkuu. Hivi kitendo cha kushika Chaki unataka uwe na PhD
Changia hoja usiattac watuKusoma PhD kwa lengo la kupanda daraja kazini ni wrong reason ya kupata PhD.
Ukiwa na PhD wala hata huitaji kupiga kelele za kupandishwa daraja. Hiyo tayar ni exposure ya kupata maslahi makubwa.
Kama hujui how... basi hukustahili kuwa nayo
Chemists hawana Bodi. What a shame?masters na phd ni academic qualifications zina uzito kwenye kazi za lecturing vyuoni, research na kazi za uongozi.
kazi nyingine zinahitaji professionall qualifications, ukimaliza chuo uende bodi ua taifa ya taaluma yako ufanye mitihani, ukifaulu mitihani uwe mwanachama wa bodi na uhudhurie semina za kitaaluma ili uwe updated.
- wahasibu wana bodi yao ya Nbaa, kuwa mwanachama inabidi ufaulu mitihani yao ya cpa, huwezi kutambulika ni muhasibu hata uwe na phd kama huna cpa,
- engineering wana bodi yao erb,
- law wana law school,
- udaktari wana bodi yao
- procurement wana bodi yao psptb,
- banking wana bodi yao cpb
- n.k.
taaluma chache sana zina bodi zao, kila nchi ukienda lazima kuwe na bodi ya engineers, law, doctor na uhasibu.Chemists hawana Bodi. What a shame?
Haya ma PhD ya watu wanapata kazini kwa matakwa yao yasiwasumbue kabisa. Hayana tija kabisa zaidi ya kuongeza misifa na kiburi kwa aliye na makitu hayo. Kwenye kazi za mawizara na mashirika utendaji wa mtu uwe ndiyo kigezo cha kupanda mshahara kupitia OPRAS.Hiki ni kilio Cha miaka mingi kwa watumishi wa umma, wamekuwa wakiomba Shahada ya Pili na PhD itambuliwe kimaslahi kwenye Baadhi ya idara bila mafanikio yoyote, huko Tamisemi Tunaomba mlichakate Jambo hili.
"Najua hili swala akifikishiwa Rais wetu mpendwa, Dr. SSH, ataagiza lifanyiwe kazi Mapema"