Viongozi wetu wahudumieni wananchi msipiganie madaraka tu

Viongozi wetu wahudumieni wananchi msipiganie madaraka tu

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Mijadala mingi katika mitandao yetu ya kijamii inajikita katika kulinda madaraka ya baadhi ya watu.

Mwananchi wa kawaida anakosa majibu ya maswali anayokutana nayo kila siku.

Huyu ana mfukuza yule na yule ana msema yule katika tu kulinda madaraka au kuyapigania.

Maswala kama maji, umeme, afya, elimu, ajira inakosa wa kuyashughulikia kwa umakini kwani muda mwingi na rasilimali zinatumika kuyalinda madaraka.

Wanasiasa na viongozi wa ache ubinafsi wafikirie pia na wana nchi wa kawaida namna ya kupigania mahitaji yao muhimu.
 
Back
Top Bottom