Viongozi Yanga Sc waipigia magoti CAF

Viongozi Yanga Sc waipigia magoti CAF

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Wakati michuano ya club bingwa barani Africa hatua ya awali ikitarajiwa kuanza mwezi ujao tetesi zinasema kuwa uongozi wa Yanga kupitia CEO wao senzo wameiandikia shirikisho la mpira wa miguu barani Africa barua ya kuwaomba mchezo wao hatua ya awali waanzie ugenini na siyo nyumbani wakiofia kufurushwa mashindanoni.

Nb: nyie Yanga Afirika si mnasema mna watu sasa nyeye za nini?

2662CC13-AEA1-4F8C-8D00-780E2FF59F00.jpeg
 
Acheni kudanganyana bhanaah... Wameomba lini? Una uthibitisho..? Au ndio umbulula...

Kwanza unaombaje... Kwani kila ikiomba je..? Ile ni droo... Ikikuangia utaanzia popote...
We una uthibitisho Kama kweli hawajaomba?
 
Wakati michuano ya club bingwa barani Africa hatua ya awali ikitarajiwa kuanza mwezi ujao tetesi zinasema kuwa.

uongozi wa Yanga kupitia CEO wao senzo wameiandikia shirikisho la mpira wa miguu barani Africa barua ya kuwaomba mchezo wao hatua ya awali waanzie ugenini na siyo nyumbani wakiofia kufurushwa mashindanoni.

Nb: nyie Yanga Afirika si mnasema mna watu sasa nyeye za nini?

View attachment 2294168
Halafu pre season wanajifua na moro kids 😀😀
 
Mtoa mada ni fala tu kama mafala wengine.. Kama unaweka taarifa za Uongo hv wewe ni fala tu
Ndiyo huyu...

Wakati michuano ya club bingwa barani Africa hatua ya awali ikitarajiwa kuanza mwezi ujao tetesi zinasema kuwa uongozi wa Yanga kupitia CEO wao senzo wameiandikia shirikisho la mpira wa miguu barani Africa barua ya kuwaomba mchezo wao hatua ya awali waanzie ugenini na siyo nyumbani wakiofia kufurushwa mashindanoni.

Nb: nyie Yanga Afirika si mnasema mna watu sasa nyeye za nini?

View attachment 2294168
Yaani mashindano hajaanza Utopolo washatolewa MAPEMA tayari. Hawajui CAF inaendeshwa KWA sheria na kanuni.
 
Wamezoea bodi ya ligi ya kasongo ni kama wakati ule waliomba waanzie mechi za nyumbani kwenye ligi wakati wa zahera kutokana na ukata
 
Wakati michuano ya club bingwa barani Africa hatua ya awali ikitarajiwa kuanza mwezi ujao tetesi zinasema kuwa uongozi wa Yanga kupitia CEO wao senzo wameiandikia shirikisho la mpira wa miguu barani Africa barua ya kuwaomba mchezo wao hatua ya awali waanzie ugenini na siyo nyumbani wakiofia kufurushwa mashindanoni.

Nb: nyie Yanga Afirika si mnasema mna watu sasa nyeye za nini?

View attachment 2294168
Wewe na mwenzako Njaakarihatari aka Jemedari! mna shida kweli! Kutwa mnaanzisha zisizo na kichwa wala miguu kuhusu Yanga!

Sijui mnaumwa nini!
 
Back
Top Bottom