Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Wameamza kuingia na ubaridi na wataondolewa mapema zaidi ya mwaka uliopitaWaanzie ugenini kama nani
We una uthibitisho Kama kweli hawajaomba?Acheni kudanganyana bhanaah... Wameomba lini? Una uthibitisho..? Au ndio umbulula...
Kwanza unaombaje... Kwani kila ikiomba je..? Ile ni droo... Ikikuangia utaanzia popote...
Halafu pre season wanajifua na moro kids 😀😀Wakati michuano ya club bingwa barani Africa hatua ya awali ikitarajiwa kuanza mwezi ujao tetesi zinasema kuwa.
uongozi wa Yanga kupitia CEO wao senzo wameiandikia shirikisho la mpira wa miguu barani Africa barua ya kuwaomba mchezo wao hatua ya awali waanzie ugenini na siyo nyumbani wakiofia kufurushwa mashindanoni.
Nb: nyie Yanga Afirika si mnasema mna watu sasa nyeye za nini?
View attachment 2294168
Aliyeleta hoja ya kuwa wametuma... Ndio alete uthibitisho kwanza...alafu mimi nilete wangu wa kupinga...We una uthibitisho Kama kweli hawajaomba?
Ndiyo huyu...Mtoa mada ni fala tu kama mafala wengine.. Kama unaweka taarifa za Uongo hv wewe ni fala tu
Yaani mashindano hajaanza Utopolo washatolewa MAPEMA tayari. Hawajui CAF inaendeshwa KWA sheria na kanuni.Wakati michuano ya club bingwa barani Africa hatua ya awali ikitarajiwa kuanza mwezi ujao tetesi zinasema kuwa uongozi wa Yanga kupitia CEO wao senzo wameiandikia shirikisho la mpira wa miguu barani Africa barua ya kuwaomba mchezo wao hatua ya awali waanzie ugenini na siyo nyumbani wakiofia kufurushwa mashindanoni.
Nb: nyie Yanga Afirika si mnasema mna watu sasa nyeye za nini?
View attachment 2294168
Na zikiwa za kweliMtoa mada ni fala tu kama mafala wengine.. Kama unaweka taarifa za Uongo hv wewe ni fala tu
Mwaka kolo mtaongea mpk mtapike nyongoSasa mbwembwe za nini wakati watapigwa nje ndani hawa
Wewe na mwenzako Njaakarihatari aka Jemedari! mna shida kweli! Kutwa mnaanzisha zisizo na kichwa wala miguu kuhusu Yanga!Wakati michuano ya club bingwa barani Africa hatua ya awali ikitarajiwa kuanza mwezi ujao tetesi zinasema kuwa uongozi wa Yanga kupitia CEO wao senzo wameiandikia shirikisho la mpira wa miguu barani Africa barua ya kuwaomba mchezo wao hatua ya awali waanzie ugenini na siyo nyumbani wakiofia kufurushwa mashindanoni.
Nb: nyie Yanga Afirika si mnasema mna watu sasa nyeye za nini?
View attachment 2294168