vip kwa bei hizi za vyakula bado wakulima mnatuita washamba

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
704
Reaction score
2,435
kuna mtazamo flani jamii ya tanzania imekuwa nao kwa miaka miaka mingi, unapomwambia mtu wewe ni mkulima anakutazama kama mtu flani umechoka, umepoteza mwelekeo , hauna macho ya kuona fursa, ulishindwa maisha ukachagua kilimo kama njia ya mwisho, neno mshamba limekuwa connected na mtu wa kijijini ambaye hana njia nyingine ya kutafta pesa na hana ujanja wowote, ukienda ofisi yoyote kama kuna usajili au lolote linafanyika na wewe hauna kazi malumu basi unasajiliwa au unatambulishwa as mkulima huu mtazamo vip bado unao na unatuonaje wakulima miaka hii bado tumechoka ee, hatuna macho ya kuona fursa , unahisi ni jambo gani ambalo wewe unaweza kufanya kupitia hizo dili zako wakulima miaka hii hawafanyi , unajisikiaje unaponunua vyakula na unakutana na bei, vip bado unamini wanaopata pesa kupitia kilimo ni wafanyabiashara na wakulima wao ni kusota tu ? basi kama una mtazamo hasi kuhusu wakulima pita mikoa ya nyanda za juu kusini ukutane na wakulima utajifunza kitu
 
Paragraph muhimu pindi unapoandika.
Unaharakia mkutano wa chadema?
 
Kwani Mtakwimu Mkuu Dkt Albina Chuwa Kasemaje Kuhusu Bei
 
Wengi ni washamba, hilo halipingiki.
Tofauti na wafanyabiashara ambao wao hukutana na watu wengi, huzunguka maeneo mengi nk.

Wakulima wa hali ya chini wengi wao hukaa mahali pamoja kwa muda mrefu, hajui kinachoendelea mjini(duniani). Matokeo yake hata ujanja mdogo mdogo tu akifika sokoni anakua hana, dalali ndo anaamua kila kitu.

NB. Achana na wakulima ambao pia ni wafanyabiashara, naongelea mkulima mkulima. Akilima nyanya hatoki shamba mpaka iwe nyekundu.
 
kuna mtazamo flani jamii ya tanzania imekuwa nao kwa miaka miaka mingi, unapomwambia mtu wewe ni mkulima anakutazama kama mtu flani umechoka, umepoteza mwelekeo , hauna macho ya kuona fursa, ulishindwa maisha ukachagua kilimo kama njia ya mwisho, neno mshamba limekuwa connected na mtu wa kijijini ambaye hana njia nyingine ya kutafta pesa na hana ujanja wowote, ukienda ofisi yoyote kama kuna usajili au lolote linafanyika na wewe hauna kazi malumu basi unasajiliwa au unatambulishwa as mkulima huu mtazamo vip bado unao na unatuonaje wakulima miaka hii bado tumechoka ee, hatuna macho ya kuona fursa , unahisi ni jambo gani ambalo wewe unaweza kufanya kupitia hizo dili zako wakulima miaka hii hawafanyi , unajisikiaje unaponunua vyakula na unakutana na bei, vip bado unamini wanaopata pesa kupitia kilimo ni wafanyabiashara na wakulima wao ni kusota tu ? basi kama una mtazamo hasi kuhusu wakulima pita mikoa ya nyanda za juu kusini ukutane na wakulima utajifunza kitu
kuuza nafaka bei ya juu akumfanyi mkulima kutokuwa mshamba ushamba sio tusi hata huyo mnunuzi wa mchele pale tandika ni mshaba kwa sababu ajui shamba la mpunga linaanaliwaje yeye ajua unapandwa mchele na kuvuna mchele kumbe sivio hata huo ni ushamba
 
Back
Top Bottom