VIP only

VIP only

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,286
Reaction score
4,523
Jamani ninashindwa kuingia kwenye hii forum

VIP only

Nifanyaje?

Mwana
 
Jamani ninashindwa kuingia kwenye hii forum

VIP only

Nifanyaje?

Mwana

Inabidi uwe Premium member (VIP) kwa kutoa mchango wako kuiwezesha JF kuwa hewani. Wasiliana na Invisible au Mexence kwa maelezo zaidi.
 
Inabidi uwe Premium member (VIP) kwa kutoa mchango wako kuiwezesha JF kuwa hewani. Wasiliana na Invisible au Mexence kwa maelezo zaidi.

Nawashukuru wachangiaji....sasa kwanini nyie wakaka wa JF msitulipie sisi dada zenu?

Mwanamtama
 
Nd. Kigogo,
Why you are so hard on her?
Kama angelikuwa dada yako ungelifanyaje?

Noooo nataka kumuelekeza jinsi ya kujaza fomu ya kuwa Primiyamu memba kiongozi..iam soo soft to her
 
Jisemee nafsi yako ndg.
Hapa ni self-skating.

Nd. VeraCity,

Kuna ubaya gani kama anakusemeeni nyote namna ya kujaza hizo forms za kuwa Premium Member ambazo inaonesha Nd. Kigogo anazo?
Siku hizi kwani hakuna ile...."Msaidie Mtanzania mwenzako?"
 
Nawashukuru wachangiaji....sasa kwanini nyie wakaka wa JF msitulipie sisi dada zenu?

Mwanamtama

Yaani niyo ndio unataka iwe ndiyo status ya mwanamke wa ki-JF? kulipiwa na wanaume? Dont you think its somehow degrading?

Angalia usije toka Mwanamtama hadi Mwanamtamu!
 
ha ha haa!! unajitafutia balaa weye...

Yaani niyo ndio unataka iwe ndiyo status ya mwanamke wa ki-JF? kulipiwa na wanaume? Dont you think its somehow degrading?

Angalia usije toka Mwanamtama hadi Mwanamtamu!

Jamani dada kuwaomba kaka zake msaada isichukuliwe kwenye negative side tu. Anaweza kusaidiwa kama mtu mwingine mwenye uhitaji bila ya masharti yoyote.
 
Nawashukuru wachangiaji....sasa kwanini nyie wakaka wa JF msitulipie sisi dada zenu?

Mwanamtama
Embu tuaminishe kuwa nyie ni dada zetu,coz kunawatu wengi humu ndani wanajifanya madem ili kurahisisha mambo yao!!
 
Ngida1, karibu tena, safari hii we bana hapa hapa kwenye matangazo, hakuna presha wala nini..guaranteed

Nd. Triplets,
Hayo uyasemayo ni ya kweli tupu. Nitabanisha hapa hapa nikingojea kumsaidia KOGOGO kujaza hizo forms za dada zetu kuingia VIP!
 
Back
Top Bottom