Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Maisha ya tanzania watu wanapitia maisha magumu sana na sote pia tuliopo hapa jamiiforum.
Kwa maisha ya tanzania kutimiza ndoto kama Dream country ilivyo nchi kubwa ni ngumu.
Mfano na rafiki yangu baada ya kuona bongo ishakuwa malawi alichokifanya kutimkia kwa trump.
Kazi anazofanya kama ingekuwa bongo mpaka unaingia kaburini utaweza kufanikisha malengo yako.
Jamaa ndani ya mwaka mmoja na nusu account inasoma milioni 200 sijui kwa sasa maana ni mda sasa.
Mfano mzuri angalia msanii Roma na leo watoto wake wanasoma shule zile zenye mkwanja ambao angesema yupo bongo kwa huu mziki hapana.
Sasa kwa vipato vyetu hapa bongo naona ni maji na mafuta yani leo ili kuishi maisha na wewe unenepe na kunawili kama nguruwe kwa siku inabidi elfu 50 kukatika.
Mfano wenye familia wapate milo mitatu kwa siku jambo la kukatika 25000 kwa siku na hapo na zungumzia bonga tu na chai huku umeemea sokoni vitu vya mwezi.
Leo kilo ya nyama ni elfu 12000 kumbuka hii kilo kuna lile dogo lake na mke wangu lenye maviatu
Bado maitaji ya mke ndani vitu vidogo vidogo.
Ukisema na wewe upige chai nzuri hata kama ni maskini ili upate chai nzuri si zaidi ya 5000 kwa bongo hii.
Ujapata maji ya kunywa,chakula cha mchana na jioni bia mbili.
Bado unamchepuko naye anataka matunzo,bado vilio vya ndugu jamaa na marafiki maana hawa nawaita jina la ambulance mda wowote si unajua kila mtu anakwamwa hata mimi na kwama na mimi ni wale wale.
Kwa maisha haya nchi ya malawi ndio maana vidonda vya tumbo na magonjwa yasiyo ambukiza yanatuandama kwa vipato ambavyo matumizi yake hata ujikwepe vipi yata kuhusu sio kusema eti unaijua pesa.