Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
VIPAUMBELE VYA FEDHA ZA MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF) 2022/2023 - IGUNGA
1. Kukamilisha ujenzi ulioanza wa Ofisi za Kata, Ofisi za Serikali za Vijiji, Vyoo vya Walimu, Vyoo vya Wanafunzi na nyumba za Walimu.
2. Kutengeneza Madawati ya Shule za Msingi na Shule za Sekondari.
3. Kuboresha Masoko ya Biashara na kuyawekea Taa zinazotumia Umeme wa Jua ili kuweza kuongeza muda wa kufanya biashara.
4. Kuweka vivuko kwenye Mitaro na Barabara za Mamlaka ya Mji Mdogo.
5. Kukamilisha ujenzi wa miundombinu kwenye Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Igunga.
6. Kununua Saruji kwa ajili ya ujenzi wa ngome ya Gereza Kuu la Igunga.
7. Kuendeleza Ujenzi wa Zahanati za Vijiji vya Makomero na Imenya, Lugubu .
Nicholaus George Ngassa
Mbunge wa Jimbo la Igunga