Asante sana nitamfikishia hizi pongezi wife japo niko mbali naehongera ! malezi mema
sasa sio kisa upo naye mbali ujisahauuuu !lol!kuwsa na mtoto kuna raha uwe unaenda mara kwa mara ufanye bond na kichanga!Asante sana nitamfikishia hizi pongezi wife japo niko mbali nae
Kuna kakufuli kadogosasa sio kisa upo naye mbali ujisahauuuu !lol!kuwsa na mtoto kuna raha uwe unaenda mara kwa mara ufanye bond na kichanga!
Mimi ni ME (baba wa mtoto tajwa hapo juu) though baadhi ya wadau wame-comment kwang km KE ila nili-ignore jinsi/jinsia nika-focus kwny point tu..hivyo kwa kuwa umeuliza nimeamua niiweke sawa ili lisilete utata tenaWewe ni ME au KE?
Asante sana kiongozi kwa ushauriHiyo ni ngozi ya utoto inatoka.... akianza kuvuka gamba usiogope... Muogeshe kwa sabuni za kawaida na umpake futa la nazi salama
Yap nimejikuta nashindwa kujizuia kucheka kwa the way ulivyomalizia statement yako 'atakuwa softy km mama samia suluhu!'..so nikawa nafanya association kati ya umri wa mama Suluhu, ngozi yake na ngozi ya mtoto nikaishia kucheka maana hii kwa waswahili tunaita mubalagha!umenichosha ulipocheka !huyo ni mtoto wa ngap? mara nyingi hua hatuosheo sabuni kali ka mtoto mchanga , ndo maana nikakuambia muogeshee mbuni (wamama wengi huitumia pale mwanzon had afike mwezi hiv unaeza hamia kwenye johson au dettol ya watoto ) na mafuta ndo atengeneze menyewe ya nyumbani !(menzangu ukacheka)
Subiri kwanza mbona haraka? Sema wewe ni Baba mlezi wa mtotoMimi ni ME (baba wa mtoto tajwa hapo juu) though baadhi ya wadau wame-comment kwang km KE ila nili-ignore jinsi/jinsia nika-focus kwny point tu..hivyo kwa kuwa umeuliza nimeamua niiweke sawa ili lisilete utata tena