Vipele kwa watoto wachanga

Vipele kwa watoto wachanga

Ni bakteria wana shambulia watoto wadogo na kwasababu ya kutokuwa na kinga imara ni rahisi kupatwa na magonjwa... jitahidi kufanya usafi wa chumba chenu, fua nguo zake na sabuni isiyo ya harufu kali (hizi sabuni za Unga ili kugunguza uwezekano wa mafua) pia tumia maji moto kufua nguo zake mtoto na mashuka anayo lalia... bila kusahau kupiga pasi nguo zake kabla haja zivaa...
 
Hiyo ni ngozi ya utoto inatoka.... akianza kuvuka gamba usiogope... Muogeshe kwa sabuni za kawaida na umpake futa la nazi salama
 
Wewe ni ME au KE?
Mimi ni ME (baba wa mtoto tajwa hapo juu) though baadhi ya wadau wame-comment kwang km KE ila nili-ignore jinsi/jinsia nika-focus kwny point tu..hivyo kwa kuwa umeuliza nimeamua niiweke sawa ili lisilete utata tena
 
umenichosha ulipocheka !huyo ni mtoto wa ngap? mara nyingi hua hatuosheo sabuni kali ka mtoto mchanga , ndo maana nikakuambia muogeshee mbuni (wamama wengi huitumia pale mwanzon had afike mwezi hiv unaeza hamia kwenye johson au dettol ya watoto ) na mafuta ndo atengeneze menyewe ya nyumbani !(menzangu ukacheka)
Yap nimejikuta nashindwa kujizuia kucheka kwa the way ulivyomalizia statement yako 'atakuwa softy km mama samia suluhu!'..so nikawa nafanya association kati ya umri wa mama Suluhu, ngozi yake na ngozi ya mtoto nikaishia kucheka maana hii kwa waswahili tunaita mubalagha!
 
Mimi ni ME (baba wa mtoto tajwa hapo juu) though baadhi ya wadau wame-comment kwang km KE ila nili-ignore jinsi/jinsia nika-focus kwny point tu..hivyo kwa kuwa umeuliza nimeamua niiweke sawa ili lisilete utata tena
Subiri kwanza mbona haraka? Sema wewe ni Baba mlezi wa mtoto
 
[KQUOTE="urumrawi, post: 25377388, member: 446286"]Subiri kwanza mbona haraka? Sema wewe ni Baba mlezi wa mtoto[/QUOTE]
Kwa nn mlezi?
 
Wakuu hata mm wakwangu Yuko hivo vipele vimemtokea akiwa na siku 4
Dawa tafadhali
 
Back
Top Bottom