Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Ni bakteria wana shambulia watoto wadogo na kwasababu ya kutokuwa na kinga imara ni rahisi kupatwa na magonjwa... jitahidi kufanya usafi wa chumba chenu, fua nguo zake na sabuni isiyo ya harufu kali (hizi sabuni za Unga ili kugunguza uwezekano wa mafua) pia tumia maji moto kufua nguo zake mtoto na mashuka anayo lalia... bila kusahau kupiga pasi nguo zake kabla haja zivaa...