Vipele kwenye paji la uso la mtoto chini ya mwaka mmoja

Vipele kwenye paji la uso la mtoto chini ya mwaka mmoja

Black BackUp

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
717
Reaction score
666
Habari zenu
Mtoto chini ya mwaka mmoja anasumbuliwa na vipele kwenye paji la uso na maeneo ya kichwani tu ambapo tumemsaidia dawa tofauti za kupaka ikiwepo candidas mara kadhaa haikuweza kumsaidia.
Naomba kusaidiwa ushauri ama dawa sahihi ambayo itaweza kumsaidia.
Asanteni sana
 

Attachments

  • IMG_1860.jpeg
    IMG_1860.jpeg
    498.1 KB · Views: 41
Mkuu wewe hata usiangaike navyo vitapotea vyenyewe kawaida kutoka kwa watoto hivyo.
 
Back
Top Bottom