wheedenTz
New Member
- Apr 27, 2024
- 1
- 0
Ni mara ya kwanza kuandika kitu humu ila wadau wa jukwaa la katiba naomba kuuliza hivi vile vipengele wezeshi kwa vijana (enabling provision) walivyodai kuwekwa kwenye ile Katiba ya Warioba bado ni vinapewa kipaumbele kuelekea hili sakata la katiba mpya?
Au vijana tushapigwa chini watu wanatazama maslahi yao binafsi ya moja kwa moja.
Au vijana tushapigwa chini watu wanatazama maslahi yao binafsi ya moja kwa moja.