Matango
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 535
- 118
SIONI Mantiki ya kubishana kuhusu ugonjwa wa mtu. Hayo ni majaaliwa na mipango ya mwenyeezi mungu. Kazi zake na utendaji wake katika taaluma ya uhandisi, kazi zake na utendaji wake katika siasa ni vitu vinavyoweza kujadiliwa kila kimoja kwa nafasi yake bila ya kuhusisha ugonjwa wake. Ugonjwa anaweza kupata binadamu yeyote. Tujadili lakini pia tumtendee haki kama binadamu.