Vipi Afya ya Prof. Mark Mwandosya?

Vipi Afya ya Prof. Mark Mwandosya?

SIONI Mantiki ya kubishana kuhusu ugonjwa wa mtu. Hayo ni majaaliwa na mipango ya mwenyeezi mungu. Kazi zake na utendaji wake katika taaluma ya uhandisi, kazi zake na utendaji wake katika siasa ni vitu vinavyoweza kujadiliwa kila kimoja kwa nafasi yake bila ya kuhusisha ugonjwa wake. Ugonjwa anaweza kupata binadamu yeyote. Tujadili lakini pia tumtendee haki kama binadamu.
 
Kuweka Umeme, Maji, Barabara siyo kazi ya Mbunge labda kama unasinzia kufikiri. <br />
<br />
Chuki binafsi zipi? Pumba unazo wewe na wazazi wako waliokuzaa, hana msaada wowote huyo Mungu anajuwa.
<br />
<br />
HEEEEE!
 
Prof. Mwandosya vipi..anaendeleaje jamani? Ni muda umepita sasa, hatujasikia updates za afya ya huyu jamaa.
Wenye habari kuhusu afya ya huyu jamaa naomba mnijuze.
Nimempigia Nape kasema mzee Mwandosya hajambo, anaendelea vyema, na anachapa kazi kwa kutumia simu
 

Huyu Jamaa amekuwa Bungeni miaka yote sijawai kumsikia akitoa hata sauti yake kwa ajili ya kutete Maskini wa nchni hii, ni watu wanao amini katika utu wao binafsi na kujenga familia zao huku mamia kwa mamia wakila taabu na wao wakila raha na watoto wao. Hana faida yoyote kwa Umma bali kwa familia yake pekee.

Ee Mwenyezi Mungu umuhukumu kwa kadri ya dhambi zake, maana umesema kila nafsi itaonja mauti, na iwe hivyo.

Kweli Usilolijua ni kama Usiku wa Kiza, Ficha Upumbavu Wako. Kuna Wabunge wanaopiga domo na kuna Wabunge watendaji, Prof Mwandosya yupo kwenye kundi la pili, ni mtu makini anayejua analolifanya, na wakati wote anajibidisha katika kutimiza kila anachokisema, huyo ndiye Prof Mark Mwandosya.

Kimsingi Prof anaendelea vizuri, hatajiuzulu na ataendelea kulitumikia taifa hili , Eeh Mwenyezi Mungu umzidishie nguvu na ari zaidi ya kuwatumikia Watanzania.

Tupo Pamoja Nawe Prof Mwandosya, Tanzania Inakuhitaji Sana.
 
Prof. Mwandosya vipi..anaendeleaje jamani? Ni muda umepita sasa, hatujasikia updates za afya ya huyu jamaa.
Wenye habari kuhusu afya ya huyu jamaa naomba mnijuze.

Mkuu siyo huyo tu!
Kuna Mbunge tokea ashinde uchaguzi mpaka leo hajaapishwa. Jamani mwaka umekaribia kuisha na sheria zinasemaje?
Ni vizuri vile vile tukaambiwa anaendeleaje, au kama tayari anaelekea kwenye friji tuambiwe pia!
 
Mkuu siyo huyo tu!
Kuna Mbunge tokea ashinde uchaguzi mpaka leo hajaapishwa. Jamani mwaka umekaribia kuisha na sheria zinasemaje?
Ni vizuri vile vile tukaambiwa anaendeleaje, au kama tayari anaelekea kwenye friji tuambiwe pia!

Akienda kwenye friji naona utafanya sherehe kubwa!
 
Kwa nini jamaa asijiudhuru mapema then aendelee na matibabu?
watu mna roho ngumu! kumbukeni kuna maisha ya aina mbili baada ya kifo...katika UFALME wa MUNGU ama motoni...... anasa za dunia zitakusaidia nini?
 
Hivi wandugu, prof. Mwandosya anaumwa nini hasa? Plz, mnaojua naomba mnisaidie.
 
Back
Top Bottom