<br />Kuweka Umeme, Maji, Barabara siyo kazi ya Mbunge labda kama unasinzia kufikiri. <br />
<br />
Chuki binafsi zipi? Pumba unazo wewe na wazazi wako waliokuzaa, hana msaada wowote huyo Mungu anajuwa.
Nimempigia Nape kasema mzee Mwandosya hajambo, anaendelea vyema, na anachapa kazi kwa kutumia simuProf. Mwandosya vipi..anaendeleaje jamani? Ni muda umepita sasa, hatujasikia updates za afya ya huyu jamaa.
Wenye habari kuhusu afya ya huyu jamaa naomba mnijuze.
Huyu Jamaa amekuwa Bungeni miaka yote sijawai kumsikia akitoa hata sauti yake kwa ajili ya kutete Maskini wa nchni hii, ni watu wanao amini katika utu wao binafsi na kujenga familia zao huku mamia kwa mamia wakila taabu na wao wakila raha na watoto wao. Hana faida yoyote kwa Umma bali kwa familia yake pekee.
Ee Mwenyezi Mungu umuhukumu kwa kadri ya dhambi zake, maana umesema kila nafsi itaonja mauti, na iwe hivyo.
Prof. Mwandosya vipi..anaendeleaje jamani? Ni muda umepita sasa, hatujasikia updates za afya ya huyu jamaa.
Wenye habari kuhusu afya ya huyu jamaa naomba mnijuze.
Mkuu siyo huyo tu!
Kuna Mbunge tokea ashinde uchaguzi mpaka leo hajaapishwa. Jamani mwaka umekaribia kuisha na sheria zinasemaje?
Ni vizuri vile vile tukaambiwa anaendeleaje, au kama tayari anaelekea kwenye friji tuambiwe pia!
watu mna roho ngumu! kumbukeni kuna maisha ya aina mbili baada ya kifo...katika UFALME wa MUNGU ama motoni...... anasa za dunia zitakusaidia nini?Kwa nini jamaa asijiudhuru mapema then aendelee na matibabu?