Vipi bado tuendelee kuuamini huu Upuuzi au tukubaliane tu kuwa Dunia ni Sayansi na kwamba tuheshimu tu Asili?

Vipi bado tuendelee kuuamini huu Upuuzi au tukubaliane tu kuwa Dunia ni Sayansi na kwamba tuheshimu tu Asili?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Kuwa sijui....

1. Ukiona Paka jike na dume wanatiana jua ni Uchuro ama utakufa au utapokea Msiba

2. Bundi akitua katika Paa la Nyumba yako jiandae Kufa au Kufiwa

3. Mbwa akibweka sana Usiku Kwako jua Wachawi wanapigana Angani Kwako hivyo utaamka Asubuhi ukiwa Mchovu kama umetoka Kulimishwa nao

Hivi waliokuwa wanatudanganya hivi Walituonaje labda?

Kama ni kuangalia Paka wakizagamuana nimekuwa nikiiangalia tokea Mtoto hadi sasa, nimeshashuhudia mno hao Bundi wakitua katika Paa (hasa Kijijini Kwetu) na kusikia Mbwa Wakibweka sana Usiku ila sijafa, sijafiwa kipindi cha baada ya Kuwaona na wala sijawahi kuamka Asubuhi nikiwa nimechoka / mchovu.

Yaani hivi naandika huu Uzi kuna Paka nawaona hapa jirani kama vile wanataka Kubanduana ngoja Kwanza niitizame hii Video ya bure kwani huvutiwa zaidi na Paka Jike akiwa anausikilizia Mshindo Tukuka wa Paka Dume ambaye hunivutia hasa kwa tabia yake ya kuwa Anamkaza Paka Jike huku akiwa Kanuna na Sharubu zake nimesimama na hapindishi Shingo yake kuangalia pembeni bali Kazi huwa ni moja tu Kuushindilia Mchi vizuri.
 
Hata watu waliopata uchuzi walitokea kwa kwa huyu.
Nenda kakaguliwe haraka
IMG_1778.jpeg
 
Utakuwa umeathirika na video za ngono mkuu,hapo mada yako ilikuwa hailengi uchawi bali kupromote biashara yako ya ngono. Haiwezekani,mada inahusu uchawi ila kote unazungumzia paka namna anavyopigilia misumali.
 
Back
Top Bottom