Vipi hapo ulipo umeoa mke au umeoa mke na familia nzima

Vipi hapo ulipo umeoa mke au umeoa mke na familia nzima

Kwa bahati mbaya kuna watu badala ya kuoa mke ila wanajikuta wanahudumia mke na familia nzima yaani hii ni utake hsitake.

Hasa ukiaa muoga kuaachana wanahamiavwote kwako.
Unataka JF usababishe ugonvi na ukweni
IMG_1527.jpeg
 
Ndio maana mwanamke maskini wa akili au fedha sitaki ata kumwona.
Wewe nitakuja kukuteka nikupeleke kwa yale mama yakule dozi hadi uzime kazi mdomo mdomo nakila siku wanakulipa wapo watatu unadharau sana wanawake na huku niwewe umewekwa uwasaidie
 
Wewe nitakuja kukuteka nikupeleke kwa yale mama yakule dozi hadi uzime kazi mdomo mdomo nakila siku wanakulipa wapo watatu unadharau sana wanawake na huku niwewe umewekwa uwasaidie
Hahahaha mbona humu nina marafiki zangu wengi wanawake 🤣🤣
 
Back
Top Bottom