Vipi hii system na Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ ipo?

Vipi hii system na Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ ipo?

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Huwa "tuna" utaratibu wa kulipa kabla au prepaid sio utaratibu actually bali ni law βš– kufanya hivyo lasivyo hakuna access ya umeme kwenye jengo lako.

Sasa kitu kinachofanya ujue units zako zimeisha ni aitha kucheki kwenye meter reader au a surprise blackout, hali imekua tofauti kwa kipindi kuanzia 2 months ago now

Ilikua ni baada ya kuweka units za mwezi mzima na cha kushangaza mwezi uliisha na additional 3 weeks juu bila umeme kukatika kabisa 😊

Ndipo tulipojiuliza kulikoni huu umeme vipi mbona hauishi, kwenda kucheki mita tukakuta units zilishaisha kabisa 0⃣ na kuna disconnect symbol kwenye meter lakini umeme bado unaflow ndani kama kawa

Ikabidi tujaribu kununua units kwenye simu na kuingiza token but zikakatwa baathi ya units on the spot huku nyingine chache zikisoma kwenye screen πŸ€”

The following month ikawa hivyo hivyo so hapo ndio tukajua kumbe Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tuna umeme wa kutosha mpaka TANESCO wanaamua kugawa umeme wa bure utumie tu mpaka hapo utakapopata hela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwa kweli hilo lilinifanya nizidi kutembea kifua mbele sababu sio kwa kuhongwa huku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜

Sasa hapa najiuliza ni kinyerezi I, II pekee zinafanya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tuwe electricity mpaka ya bure, vipi Stirgliers Gorge ikikamilika?

Tutegemee kuuziwa unit kwa cent

Vivaaa JPM πŸ’ͺπŸΌπŸ‘πŸΌ
Vivaaa Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
SIO BURE UMEKOPESHWA MKUU NDIO MAANA ULIKATWA UNIT NO FREE IN TZ
 
more like meter reader ni faulty hairipoti . ukipewa umeme wa bure unaongezwa units za kilowats...
 
more like meter reader ni faulty hairipoti . ukipewa umeme wa bure unaongezwa units za kilowats...
Nope that was not mistaken yaani ni kwamba you will keep using units but when you recharge it, sum of unpaid units you used will be deducted from new recharge.
 
Ni kweli lakini hii system haikua awali sio?
SIJAI PATA IZO DATA HUENDA WAO WANAMAJIBU MAZUR ZAID SISI TUNAWEKAGA WAKUTOSHA 24HRS PENGINE NI UTARATIB WA WATEJA WAKUBWA KM NINYI WA MWEZI/MIEZ
 
Huwa "tuna" utaratibu wa kulipa kabla au prepaid sio utaratibu actually bali ni law [emoji1013] kufanya hivyo lasivyo hakuna access ya umeme kwenye jengo lako.

Sasa kitu kinachofanya ujue units zako zimeisha ni aitha kucheki kwenye meter reader au a surprise blackout, hali imekua tofauti kwa kipindi kuanzia 2 months ago now

Ilikua ni baada ya kuweka units za mwezi mzima na cha kushangaza mwezi uliisha na additional 3 weeks juu bila umeme kukatika kabisa [emoji4]

Ndipo tulipojiuliza kulikoni huu umeme vipi mbona hauishi, kwenda kucheki mita tukakuta units zilishaisha kabisa [emoji646] na kuna disconnect symbol kwenye meter lakini umeme bado unaflow ndani kama kawa

Ikabidi tujaribu kununua units kwenye simu na kuingiza token but zikakatwa baathi ya units on the spot huku nyingine chache zikisoma kwenye screen [emoji848]

The following month ikawa hivyo hivyo so hapo ndio tukajua kumbe Tanzania [emoji1241] tuna umeme wa kutosha mpaka TANESCO wanaamua kugawa umeme wa bure utumie tu mpaka hapo utakapopata hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa kweli hilo lilinifanya nizidi kutembea kifua mbele sababu sio kwa kuhongwa huku [emoji23][emoji23][emoji16]

Sasa hapa najiuliza ni kinyerezi I, II pekee zinafanya Tanzania [emoji1241] tuwe electricity mpaka ya bure, vipi Stirgliers Gorge ikikamilika?

Tutegemee kuuziwa unit kwa cent

Vivaaa JPM [emoji1377][emoji1360]
Vivaaa Tanzania [emoji1241] [emoji1241]
The Electrician didnt install it well...the electricity is being bypassed so at 0 you still will have the electricity and the meter will continue reading and it wouldn't display it...you'll end up in big debt eventually.
NB
1.The display you use to enter and read the balance is different from the real meter.
2.the real meter will continue reading while the display doesnt show
 
Chinese products hukua cheap na ni low quality.
 
Nope that was not mistaken yaani ni kwamba you will keep using units but when you recharge it, sum of unpaid units you used will be deducted from new recharge.
That's not how prepaid power meter should be working. Your device might have problem, if you're not intend to take advantage of it I suggest you report to your power supply company to get the situation rectified
 
Halafu jamaa anajisia kama ZUZU..
Eti alipewa bure..!!
TANESCO ipi? Labda nyingine sio hii inayopumilia mashine.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ I can feel your anger and jealous of my special privileges from TANESCO

Ulitaka tufanane?
 
Huwa "tuna" utaratibu wa kulipa kabla au prepaid sio utaratibu actually bali ni law βš– kufanya hivyo lasivyo hakuna access ya umeme kwenye jengo lako.

Sasa kitu kinachofanya ujue units zako zimeisha ni aitha kucheki kwenye meter reader au a surprise blackout, hali imekua tofauti kwa kipindi kuanzia 2 months ago now

Ilikua ni baada ya kuweka units za mwezi mzima na cha kushangaza mwezi uliisha na additional 3 weeks juu bila umeme kukatika kabisa 😊

Ndipo tulipojiuliza kulikoni huu umeme vipi mbona hauishi, kwenda kucheki mita tukakuta units zilishaisha kabisa 0⃣ na kuna disconnect symbol kwenye meter lakini umeme bado unaflow ndani kama kawa

Ikabidi tujaribu kununua units kwenye simu na kuingiza token but zikakatwa baathi ya units on the spot huku nyingine chache zikisoma kwenye screen πŸ€”

The following month ikawa hivyo hivyo so hapo ndio tukajua kumbe Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tuna umeme wa kutosha mpaka TANESCO wanaamua kugawa umeme wa bure utumie tu mpaka hapo utakapopata hela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwa kweli hilo lilinifanya nizidi kutembea kifua mbele sababu sio kwa kuhongwa huku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜

Sasa hapa najiuliza ni kinyerezi I, II pekee zinafanya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tuwe electricity mpaka ya bure, vipi Stirgliers Gorge ikikamilika?

Tutegemee kuuziwa unit kwa cent

Vivaaa JPM πŸ’ͺπŸΌπŸ‘πŸΌ
Vivaaa Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Boss hiyo ndio inafanya upige kifua. Kweli waafrika sisi tunaishi kwenye nchi shithole kwelikweli
 
Yeye anasema ni kinyerezi kumbe ni mambo ya Made in China. [emoji23] Mshamba sana huyu jamaa.
The meter is made from South Africa 🌍 πŸ™„

Hiyo China πŸ‡¨πŸ‡³ ni SGR yenu 1950s
 
Back
Top Bottom