REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Huwa "tuna" utaratibu wa kulipa kabla au prepaid sio utaratibu actually bali ni law β kufanya hivyo lasivyo hakuna access ya umeme kwenye jengo lako.
Sasa kitu kinachofanya ujue units zako zimeisha ni aitha kucheki kwenye meter reader au a surprise blackout, hali imekua tofauti kwa kipindi kuanzia 2 months ago now
Ilikua ni baada ya kuweka units za mwezi mzima na cha kushangaza mwezi uliisha na additional 3 weeks juu bila umeme kukatika kabisa π
Ndipo tulipojiuliza kulikoni huu umeme vipi mbona hauishi, kwenda kucheki mita tukakuta units zilishaisha kabisa 0β£ na kuna disconnect symbol kwenye meter lakini umeme bado unaflow ndani kama kawa
Ikabidi tujaribu kununua units kwenye simu na kuingiza token but zikakatwa baathi ya units on the spot huku nyingine chache zikisoma kwenye screen π€
The following month ikawa hivyo hivyo so hapo ndio tukajua kumbe Tanzania πΉπΏ tuna umeme wa kutosha mpaka TANESCO wanaamua kugawa umeme wa bure utumie tu mpaka hapo utakapopata hela πππππ
Kwa kweli hilo lilinifanya nizidi kutembea kifua mbele sababu sio kwa kuhongwa huku πππ
Sasa hapa najiuliza ni kinyerezi I, II pekee zinafanya Tanzania πΉπΏ tuwe electricity mpaka ya bure, vipi Stirgliers Gorge ikikamilika?
Tutegemee kuuziwa unit kwa cent
Vivaaa JPM πͺπΌππΌ
Vivaaa Tanzania πΉπΏ πΉπΏ