britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Siasa za Tanzania zina mambo, hivi siku hizi mnajua barua za uteuzi wanakadiria tumelala ndiyo inarushwa hewani.
Vipi Ukakutana na barua siku moja kwamba uteuzi wa Mheshimiwa Mbowe ameteuliwa kuwa na nafasi fulani serikalini au nje ya nchi? Si lazima Mbowe, hata Lissu Au Lema?
Kwa Zitto huko siongei maana ni mteule wa Rais kuvuruga Upinzani ana nafasi ya kudumu. 😅
Utalichukuliaje hili?
Britanicca