britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Hazipiti siku mbili mbona kuna mpinzani atashika wadhifa mkubwaSiasa za Tanzania zina mambo Hivi siku hizi mnajua barua za uteuzi wanakadiria tumelala ndo inarushwa hewan hahaha vipi Ukakutana na Barua siku moja kwamba uteuzi wa Mheshimiwa Mbowe ameteuliwa kuwa na nafasi fulani serikalini au nje ya nchi ? Si lazima mbowe hata Lissu Au Lema?
Kwa zitto huko siongei maana ni mteule wa Rais kuvuruga Upinzani ana nafasi ya kudumu [emoji28]
Utalichukuliaje hili ?
Britanicca
Ngoja tuoneCHADEMA wametangaza kuanza mikutano ya hadhara nchi nzima.
The impossible! Usually, the negative is incapable of proof! Water wil always go down a stream, the reverse will need expand of energy! Impossible to go up a gradient unless energy is used to do that!Siasa za Tanzania zina mambo Hivi siku hizi mnajua barua za uteuzi wanakadiria tumelala ndo inarushwa hewan hahaha vipi Ukakutana na Barua siku moja kwamba uteuzi wa Mheshimiwa Mbowe ameteuliwa kuwa na nafasi fulani serikalini au nje ya nchi ? Si lazima mbowe hata Lissu Au Lema?
Kwa zitto huko siongei maana ni mteule wa Rais kuvuruga Upinzani ana nafasi ya kudumu ๐
Utalichukuliaje hili ?
Britanicca
Anunulike mara ngapi mlamba asali nyuki wadogo huyo???Mbowe amecheza ikulu miaka hiyo na akina makongoro huwezi kumnunua Kwa cheo cha kifala kama kafulila