kashinje juma
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 706
- 543
Kama madrid nusu fainali hatopangiwa barca basi atafika fainali,,,liva hana uwezo wakumfunga yoyote kati ya madrid,barca au munichNdg washabiki wa mpira hasahasa wa timu za ulaya,jana tumeshuhudia kiwango bora kbs cha timu ya liverpool ikiitafuna man site bao 3 kw nunge,hebu tuchangie maoni yetu,liverpool ikikutana na Realmadrid,je nani atabeba kombe?
Tia nyama kidogo mkuu.Kama madrid nusu fainali hatopangiwa barca basi atafika fainali,,,liva hana uwezo wakumfunga yoyote kati ya madrid,barca au munich
PoleKama madrid nusu fainali hatopangiwa barca basi atafika fainali,,,liva hana uwezo wakumfunga yoyote kati ya madrid,barca au munich
hujui mpiraNdg washabiki wa mpira hasahasa wa timu za ulaya,jana tumeshuhudia kiwango bora kbs cha timu ya liverpool ikiitafuna man site bao 3 kw nunge,hebu tuchangie maoni yetu,liverpool ikikutana na Realmadrid,je nani atabeba kombe?
Ndio maana nimeuliza mkuu,hujui mpira
ahahhaahahahAcha kufananisha Madrid na vitu vya kijinga
Ndg washabiki wa mpira hasahasa wa timu za ulaya,jana tumeshuhudia kiwango bora kbs cha timu ya liverpool ikiitafuna man site bao 3 kw nunge,hebu tuchangie maoni yetu,liverpool ikikutana na Realmadrid,je nani atabeba kombe?
Real Madrid itabeba kombe la UEFAKama madrid nusu fainali hatopangiwa barca basi atafika fainali,,,liva hana uwezo wakumfunga yoyote kati ya madrid,barca au munich
Real Madrid itabeba kombe la UEFA
Hata Barcelona haina uwezo wa kumshinda Madrid kwsbb barca ina defence mbovu.
Wabillah Tawfiq
Ndg washabiki wa mpira hasahasa wa timu za ulaya,jana tumeshuhudia kiwango bora kbs cha timu ya liverpool ikiitafuna man site bao 3 kw nunge,hebu tuchangie maoni yetu,liverpool ikikutana na Realmadrid,je nani atabeba kombe?