Vipi ikitokea Liverpool ikakutana fainali na Real Madrid! Je, nani atabeba ndoo?

Vipi ikitokea Liverpool ikakutana fainali na Real Madrid! Je, nani atabeba ndoo?

kashinje juma

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2017
Posts
706
Reaction score
543
Ndugu washabiki wa mpira hasahasa wa timu za ulaya, jana tumeshuhudia kiwango bora kabisa cha timu ya Liverpool ikiitafuna man city bao 3 kwa nunge, hebu tuchangie maoni yetu, Liverpool ikikutana na Realmadrid, je nani atabeba kombe?

Soma: Klabu Bingwa Ulaya: Liverpool yaiadabisha Manchester City! Barcelona mwendo mdundo

Liverpool-vs-Man-City-LIVE.jpg
 
Ndg washabiki wa mpira hasahasa wa timu za ulaya,jana tumeshuhudia kiwango bora kbs cha timu ya liverpool ikiitafuna man site bao 3 kw nunge,hebu tuchangie maoni yetu,liverpool ikikutana na Realmadrid,je nani atabeba kombe?
Kama madrid nusu fainali hatopangiwa barca basi atafika fainali,,,liva hana uwezo wakumfunga yoyote kati ya madrid,barca au munich
 
Madrid anapiga wote waliobaki isipokuwa Barcelona ni mgumu..... So liverpool atapigwa za kutosha akikutana na Madrid fainal
 
barcelona wanaomba wakutane na madrid nusu maana hio ndio mechi peeke rahisi kwao...liver kabahatisha tu kwa mancity hizo counter zake labda kwa munich ila barca na madrid hawez coz cku hizi na wao wanakaa nyuma flan hv mbele wanaenda kwa hesabu sana, liver watasumbua tu ila mwsho wao umeshafika
 
Ndg washabiki wa mpira hasahasa wa timu za ulaya,jana tumeshuhudia kiwango bora kbs cha timu ya liverpool ikiitafuna man site bao 3 kw nunge,hebu tuchangie maoni yetu,liverpool ikikutana na Realmadrid,je nani atabeba kombe?

Ninachojua tu ni kwamba mwaka huu Timu zangu zote ' pendwa ' na ambazo zinavalia Jezi rangi Nyekundu za Simba SC na Liverpool FC zinakuwa ' Mabingwa ' nikimaanisha kwamba Simba SC tunabeba Kombe la VPL kwa msimu huu wa 2018 / 2019 na Liverpool FC itabeba Kombe la Champions League.

Kwa kukusaidia tu ' technically ' hakuna mechi rahisi kwa Liverpool FC kama ikicheza ' Fainali ' na Real Madrid kwani kwa uchezaji wa ' Jihad ' wa Liverpool FC ukijumlisha na ' total football style of play ' ya Watoto wa Jurgen Klopp Real Madrid wanaweza wakapata ' dhahama ' kama siyo ' mauaji ' ya ' Shalubela ' kuliko hata yale waliyoyapata jana Manchester City pale Anfield.
 
Real Madrid itabeba kombe la UEFA

Hata Barcelona haina uwezo wa kumshinda Madrid kwsbb barca ina defence mbovu.

Wabillah Tawfiq

Jazaakallah sheikh. Barca wanabeba mapema tu,, waliobakia wote ni wachumba tunasubiri kuowa tu...ingawa defence yetu inasuasua kidogo but naamini mambo yataenda sawia.
 
Ndg washabiki wa mpira hasahasa wa timu za ulaya,jana tumeshuhudia kiwango bora kbs cha timu ya liverpool ikiitafuna man site bao 3 kw nunge,hebu tuchangie maoni yetu,liverpool ikikutana na Realmadrid,je nani atabeba kombe?

Kwanini umeitaja madrid ukaiacha Barca? Unaamini Madrid ndio atafika final?

Kama ikitokea wakapangwa hivi

  • Barca ×Madrid=Barca
  • Germany machine × Liverpoor=Germany Machine
Final....Barca × Bayern=BARCA
 
Back
Top Bottom