Yan wewe ndo hewa kabisaaa hujui mpirabarcelona wanaomba wakutane na madrid nusu maana hio ndio mechi peeke rahisi kwao...liver kabahatisha tu kwa mancity hizo counter zake labda kwa munich ila barca na madrid hawez coz cku hizi na wao wanakaa nyuma flan hv mbele wanaenda kwa hesabu sana, liver watasumbua tu ila mwsho wao umeshafika
sawaYan wewe ndo hewa kabisaaa hujui mpira
madrid wanaomba waepushiwe mbali balaa ya kukutana na barcaJazaakallah sheikh. Barca wanabeba mapema tu,, waliobakia wote ni wachumba tunasubiri kuowa tu...ingawa defence yetu inasuasua kidogo but naamini mambo yataenda sawia.
Barca haiiwezi Madrid hakika, hata ukiweka pesa mezani.Jazaakallah sheikh. Barca wanabeba mapema tu,, waliobakia wote ni wachumba tunasubiri kuowa tu...ingawa defence yetu inasuasua kidogo but naamini mambo yataenda sawia.
barca kwa wajerumani ni kimeoKwanini umeitaja madrid ukaiacha Barca? Unaamini Madrid ndio atafika final?
Kama ikitokea wakapangwa hivi
Final....Barca × Bayern=BARCA
- Barca ×Madrid=Barca
- Germany machine × Liverpoor=Germany Machine
Hakuna lugha nzuri kuliko hiyo uliyotumia mkuu,tunaongelea kuhusu soka,na kwenye soka hakuna mshindi mpk kipenga cha mwisho.lkn pia tumeshudia realmadrid akidharirishwa na totenham.jenga hoja;uongeze nyama kidogo.Acha kufananisha Madrid na vitu vya kijinga
Defence mbovu kiaje ikiwa game ya mwisho barca alimpiga Madrid 3-0Real Madrid itabeba kombe la UEFA
Hata Barcelona haina uwezo wa kumshinda Madrid kwsbb barca ina defence mbovu.
Wabillah Tawfiq
Laliga ya msimu huu pale bernabeu kwa perez Madrid alioga goals ngapi?Barca haiiwezi Madrid hakika, hata ukiweka pesa mezani.
barca kwa wajerumani ni kimeo
Defence mbovu kiaje ikiwa game ya mwisho barca alimpiga Madrid 3-0
Barca ni unbeaten mpaka sasa in Europe sasa huo ubovu wa beki unatoka wapi?
Kwani hyo defence haikuwepo walivyokutana kwenye ligi?Real Madrid itabeba kombe la UEFA
Hata Barcelona haina uwezo wa kumshinda Madrid kwsbb barca ina defence mbovu.
Wabillah Tawfiq
Madrid kws barca huwa anatepweta,hata barca awe mbovu kias ganmadrid wanaomba waepushiwe mbali balaa ya kukutana na barca
Akikujibu ni tagKwani hyo defence haikuwepo walivyokutana kwenye ligi?
Hakuna timu ya Uingereza ambayo inaweza kuitambia Real Madrid, kwa vyovyote vile wakikutana Real Madrid lazma abebe ndoo