Vipi ikitokea Liverpool ikakutana fainali na Real Madrid! Je, nani atabeba ndoo?

Exactly 99%
 
Pia Wakuu mkumbuke licha ya City kupigwa 3 bila Na liver ,usije ukashangaa j4 liver anataka Na city anaendlea....so city si wa kuwadharau kwan wana hasira pia ya kupigwa Na man u Jana......me nasema hivi city anamtoa liver.
man city ni kweli atashinda, but ataweza kweli kumzuia liver asiscore nae goli. rejea hata mechi zao. me naona city kashatolewa. mimi sio liver lkn liver usishangae akabeba hii ndoo.
 
Man city alizingua kukosa away goal pale Anfield ni bora matokeo ya 4-1 kuliko 3-0 siku ile wangepata matokeo ya 3-1 ingekuwa rahisi kupita na wangepita ila kwa hal ilivyo wanahitaji kufunga na kuomba
 
we jamaa una akili sana!
 
Yaani wasiojua soka tayari mmemtoa Man city?? Ninaona dalili za Liverpool kutolewa na Man city licha ya kuwa mbele 3-0 soka ni kitu cha ajabu sana.

Team zingine zote zilizotangulia kwa ushibdi mechi za kwanza zinachance kubwa ya kufuzu isipokuwa huyo Liverpool
 
Kwani Liverpool ameshapita, au UEFA sasa imekuwa ramli!
 
Keep on dreaming...kesho mida kama hii utakuwa umejificha hutaki kuibuka kwenye huu uzi
 
Kama madrid nusu fainali hatopangiwa barca basi atafika fainali,,,liva hana uwezo wakumfunga yoyote kati ya madrid,barca au munich
kwa taarifa tu, timu zote ulizozitaja hapo juu baada ya last 16 hakuna hata moja iliyokuwa inataka kukutana na Liverpool kwenye quarter final. hivi ninavyoandika timu hizi zimeshika korodani zao kuomba kwa miungu yao ili Liverpool watolewe leo vs Man City.

YNWA!
 

Utumbo mtupu!!
 

We jamaa bhana!!
 

Pole ,sema lingine sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…