Ninachojua tu ni kwamba mwaka huu Timu zangu zote ' pendwa ' na ambazo zinavalia Jezi rangi Nyekundu za Simba SC na Liverpool FC zinakuwa ' Mabingwa ' nikimaanisha kwamba Simba SC tunabeba Kombe la VPL kwa msimu huu wa 2018 / 2019 na Liverpool FC itabeba Kombe la Champions League.
Kwa kukusaidia tu ' technically ' hakuna mechi rahisi kwa Liverpool FC kama ikicheza ' Fainali ' na Real Madrid kwani kwa uchezaji wa ' Jihad ' wa Liverpool FC ukijumlisha na ' total football style of play ' ya Watoto wa Jurgen Klopp Real Madrid wanaweza wakapata ' dhahama ' kama siyo ' mauaji ' ya ' Shalubela ' kuliko hata yale waliyoyapata jana Manchester City pale Anfield.