Vipi ilishawahi kukutokea hii?

Ilinikuta siku fulani ilibidi niwe kauzu nitembee hivyo hivyo..🀣
 
Jana tuu hiyo nimenyuka Converse Nyeupe .. Oceanic blue denim trouser n Jacket.. Ndani white T-shirt .. Sina hili Wala lile naenda somewhere before nifike .. ilikuwa karibu na nyumbani tuu .. akapita mwehu na Subaru yake Kama risasi kulikuwa na maji yametuama .. machafu dah ... Kitendo Cha sekunde nikawa sitamaniki...πŸ˜“πŸ˜“πŸ˜“πŸ˜“πŸ˜“ .
Kwa hasira nikaamua kuingia Kwenye havyo maji machafu nichafuke vizuri.
Ujinga sipendagi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Pole mkuu inakera sana. Utatamani umjue mwenye gari nae umvizie umtupie hata yai viza.
 
Nakumbuka tukiwa tunaenda shule na mwanafunzi mwenzangu Asa wakati tunapita pembezoni mwa lami mimi nilitangulia kupita jamaa alibaki nyuma gafla ikapita coast ikamrushia maji jamaa, yaani shati la shule looote lilichafuka ilibidi jamaa achome nauli arudi nyumbani kubadili shati lingine

"Ajari haina kinga"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…