Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Unenda zako mahali, umenyuka pamba zako freshi halafu namna gani vipi umebugi step, umeruka kojo ukakanya nnya ππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilinikuta siku fulani ilibidi niwe kauzu nitembee hivyo hivyo..π€£
Ilinikuta siku fulani ilibidi niwe kauzu nitembee hivyo hivyo..π€£
πππππ Pole mkuu inakera sana. Utatamani umjue mwenye gari nae umvizie umtupie hata yai viza.Jana tuu hiyo nimenyuka Converse Nyeupe .. Oceanic blue denim trouser n Jacket.. Ndani white T-shirt .. Sina hili Wala lile naenda somewhere before nifike .. ilikuwa karibu na nyumbani tuu .. akapita mwehu na Subaru yake Kama risasi kulikuwa na maji yametuama .. machafu dah ... Kitendo Cha sekunde nikawa sitamaniki...πππππ .
Kwa hasira nikaamua kuingia Kwenye havyo maji machafu nichafuke vizuri.
Ujinga sipendagi