Vipi kama El nino hii ijayo ndio "Gharika" ilee tuliyowahi kusimuliwa?

MsaniiMkubwa

Member
Joined
Sep 2, 2026
Posts
31
Reaction score
60
Kuna kipande nimepita pale maeneo ya Mbezi kibanda, kuna kijumba kando ya daraja huwa wanakutana na adha mara nyingi wakati wa mvua,haswa inapoongezeka kidogo tu (juu ya wastani)na maji ya mto yakiongezeka.

Na ni kama nimesikia Wanasayansi huko wameongeza kiasi cha tahadhari.

Tutarajie makubwa au kibongobongo tuwasikilize tu akina "Kinjekitile" wetu maana hao lugha yao huwa ni rahisi na inaeleweka kirahisi zaidi kwa aina ya hivi vichwa vyetu tulivyojaaliwa na Mwenye enzi Mungu,tofauti na hao wa kusema "hali joto inazidi kuongezeka bahari ya pacific jirani na ikweta".
 
Ni propaganda hakuna lolote Hadi sasa
 
Back
Top Bottom