Vipi kama Manara, Morisson wanasema ukweli kuhusu CEO Barbara

Vipi kama Manara, Morisson wanasema ukweli kuhusu CEO Barbara

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Hili sakata la usajili lilivyokosewa kiuzembe kwenye namba 6 na 9 ukilichunguza kwa makini ni uzembe mkubwa sana wa bodi yote ya simba plus Mohamed dewji

Sasa kinachotokea ni nini? PROPAGANDA MFU:
*Vipers wanataka millions 400 mkataba wa miezi miwili
*Mchezaji mwenyewe anatuchanganya tu mkataba hauleweki kama ni miaka 2 au miezi 2
*kuhusu namba 6 baada ya kuona upuuzi walioufanya wanasambaza propaganda FRAGA APANDA NDEGE KESHO KUTIA MAGUU DSM

TRY AGAIN NA BARBARA ni kwa muda mrefu tumewaaamini sana elimu zenu na muonekano wenu lakini something is not right na walahi bilahi huu mwaka utawaumbua
Kama mnajua kusoma nyakati kidogokidogo THE TRUTH IS UNFOLDING
*KUNA SIKU TUTASIKIA UKWELI KUTOKA VIPERS
*INAWEZEKANA SOPE ALBINO MANARA , KASSIM DEWJI, MORRISON PAMOJA NA MAPUNGUFU YAO KUNA MALALAMIKO YAO WALIYOYATOA KUHUSU BARBARA YANA UKWELI(BEHIND THAT PRETTY FACE ATAKUWA DADA MMOJA JEURI SANA)

*NA YULE MZEE ALIYEJITOA BODI YA SIMBA BAADAYA BARBARA KUKATAA MKATABA MNONO WA AZAM TV MATOKEO YAKE YAKE UTOPOLO FC IKAISHIA KUKOMBA MABILIONI PEKE YAKE KWA MWAKA TUKAAMBIWA TUSIJALI CONTENTS ZA YOU TUBE ZITALETA HELA NYINGI
TENA MO DEWJI AKASEMA SIMBA ITAANZISHA TV YAKE IKIBIDI ONA SASA MILLIONS 400 VIPERS INATUTOA JASHO LABDA HELA YA AZAM TV INGESAIDIA
 
Barbara sio legelege hata Manara anajua hilo na ndio maana bugati kila siku anafungua acc mpya za kumponda mdada aliye mfukuza kwenye ulaji Bugatti aliumizwa mno.

Endeleeni kumponda mdada ila msisahau kuwa hayupo legelege.
tushamsifia sana na tunamsifia sana kila siku sisi wengine siyo machawa ,maslahi yetu ni kwa klabu na siyo mtu huu ujinga anaoufanya sasa tutamuwashia moto sana kudadadeeeki
 
Barbara sio legelege hata Manara anajua hilo na ndio maana bugati kila siku anafungua acc mpya za kumponda mdada aliye mfukuza kwenye ulaji Bugatti aliumizwa mno.

Endeleeni kumponda mdada ila msisahau kuwa hayupo legelege.
Siku atakapozomewa na mashabiki wa simba mtaani au pale taifa ndipo tutajua yeye hardcore au legelege, watu wakikuheshimu na wewe waheshimu basi usiwafanye wajinga sana
 
Siku atakapozomewa na mashabiki wa simba mtaani au pale taifa ndipo tutajua yeye hardcore au legelege, watu wakikuheshimu na wewe waheshimu basi usiwafanye wajinga sana
Mashabiki wa kuzomea ni wale wanaovamia na kushabikia wasicho kijua

Zomeeni tu hata kesho ila hamna ubavu wa kumuondoa mtu asiye legelege, tena mdada 😂
 
Mashabiki wa kuzomea ni wale wanaovamia na kushabikia wasicho kijua

Zomeeni tu hata kesho ila hamna ubavu wa kumuondoa mtu asiye legelege, tena mdada 😂
hata wakiwa walevi ipo siku walevi wenzao wataungana nao, ndiyo maana nasema kinachoendelea kwa sasa ni dharau kwa mashabiki wa simba lakini haina noma kuna watu watanyooka hawataamini macho yao
 
Oya mnapokuwa wapesi kukosoa pia muwe wepesi kuchagia michango ktk vilabu vyenu .....
watu hadi leo hela zilizochangishwa(milioni 210) tukaambiwa ukuta utajengwa ni kimya..na watu wanachangia kwa hali nyingi kwenda uwanjani ku engage mtandaoni hado sponsors wanavutika kutoa mabilions au club inatoa hela za vocha?
watu wanapigania hadi jezi, KAMA HAWAKUWA NA HELA YA KUMNUNUA MANZOKI SI WANGESEMA? KUNA MATAJIRI WASHABIKI WA SIMBA WANGEWEZA SAIDIA EBOOO
 
Mkuu pumzika japo kidogo kila muda manzoki namba 6,9 thread sijui ya ngapi hii.
Jikaze siyo wewe pekee ni shabiki wa Simba Sc!
ungejipumzisha kusoma mkuu au we ni jobless unapitia tu threads na kukariri mtu kaanzisha ngapi?
 
watu hadi leo hela zilizochangishwa(milioni 210) tukaambiwa ukuta utajengwa ni kimya..na watu wanachangia kwa hali nyingi kwenda uwanjani ku engage mtandaoni hado sponsors wanavutika kutoa mabilions au club inatoa hela za vocha?
watu wanapigania hadi jezi, KAMA HAWAKUWA NA HELA YA KUMNUNUA MANZOKI SI WANGESEMA? KUNA MATAJIRI WASHABIKI WA SIMBA WANGEWEZA SAIDIA EBOOO
Ujenzi ktk maeneo kama yale lzm kuwe na mchakato sio una amka asubuhi na kuamza kupanga tofali
 
Mkuu pumzika japo kidogo kila muda manzoki namba 6,9 thread sijui ya ngapi hii.
Jikaze siyo wewe pekee ni shabiki wa Simba Sc!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kapagawa huyo mkuu mwache hasira zake zikipoa atatulia maana Kwa sasa kawa kama mwehu Kila muda anashusha Uzi wenye maudhui yaleyale
 
Back
Top Bottom