Vipi kama Manara, Morisson wanasema ukweli kuhusu CEO Barbara

Vipi kama Manara, Morisson wanasema ukweli kuhusu CEO Barbara

Mkuu pumzika japo kidogo kila muda manzoki namba 6,9 thread sijui ya ngapi hii.
Jikaze siyo wewe pekee ni shabiki wa Simba Sc!
Hahahhaa bora umesema huyu anajikuta yeye ndiyo ana uchungu kumbe jinga tu.
 
watu hadi leo hela zilizochangishwa(milioni 210) tukaambiwa ukuta utajengwa ni kimya..na watu wanachangia kwa hali nyingi kwenda uwanjani ku engage mtandaoni hado sponsors wanavutika kutoa mabilions au club inatoa hela za vocha?
watu wanapigania hadi jezi, KAMA HAWAKUWA NA HELA YA KUMNUNUA MANZOKI SI WANGESEMA? KUNA MATAJIRI WASHABIKI WA SIMBA WANGEWEZA SAIDIA EBOOO
Hela za manzoki ndo zile simba walikataa za GSM kwa hyo ulitaka babra asaini ule mkataba wa utopolo ili apate hela za usajili.
 
Ila na wewe punguza mihemko, asilimia kubwa ya habari zako unazitoa mitandaoni bila kuthibitishwa popote halafu unaishia kuwalaumu viongozi wa Simba SC, uwe unajipa muda wa kutafakari kabla ya kuja huku na hizi thread zako za malalamiko ya mfululizo
 
Mtu akiwa na misimamo dhidi ya majitu majinga majinga kuna tatizo???
 
Yawezekana pia kaachika kwa mwanandoa mwenzie ndio maana kafura kama povu la foma 😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kapagawa huyo mkuu mwache hasira zake zikipoa atatulia maana Kwa sasa kawa kama mwehu Kila muda anashusha Uzi wenye maudhui yaleyale
 
Manara na Morrison wote ni machizi hivyo ni vigumu kuamini kauli zao. Inahitaji akili ya mwendawazimu kuamini watu sampuli hii.
JamiiForums-157563313.jpg
JamiiForums-537649199.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hili sakata la usajili lilivyokosewa kiuzembe kwenye namba 6 na 9 ukilichunguza kwa makini ni uzembe mkubwa sana wa bodi yote ya simba plus Mohamed dewji

Sasa kinachotokea ni nini? PROPAGANDA MFU:
*Vipers wanataka millions 400 mkataba wa miezi miwili
*Mchezaji mwenyewe anatuchanganya tu mkataba hauleweki kama ni miaka 2 au miezi 2
*kuhusu namba 6 baada ya kuona upuuzi walioufanya wanasambaza propaganda FRAGA APANDA NDEGE KESHO KUTIA MAGUU DSM

TRY AGAIN NA BARBARA ni kwa muda mrefu tumewaaamini sana elimu zenu na muonekano wenu lakini something is not right na walahi bilahi huu mwaka utawaumbua
Kama mnajua kusoma nyakati kidogokidogo THE TRUTH IS UNFOLDING
*KUNA SIKU TUTASIKIA UKWELI KUTOKA VIPERS
*INAWEZEKANA SOPE ALBINO MANARA , KASSIM DEWJI, MORRISON PAMOJA NA MAPUNGUFU YAO KUNA MALALAMIKO YAO WALIYOYATOA KUHUSU BARBARA YANA UKWELI(BEHIND THAT PRETTY FACE ATAKUWA DADA MMOJA JEURI SANA)

*NA YULE MZEE ALIYEJITOA BODI YA SIMBA BAADAYA BARBARA KUKATAA MKATABA MNONO WA AZAM TV MATOKEO YAKE YAKE UTOPOLO FC IKAISHIA KUKOMBA MABILIONI PEKE YAKE KWA MWAKA TUKAAMBIWA TUSIJALI CONTENTS ZA YOU TUBE ZITALETA HELA NYINGI
TENA MO DEWJI AKASEMA SIMBA ITAANZISHA TV YAKE IKIBIDI ONA SASA MILLIONS 400 VIPERS INATUTOA JASHO LABDA HELA YA AZAM TV INGESAIDIA
Mda wote mnajadilia tu Simba na yanga HV hamuoni Hali ilivyo kwa sas amuezi kuandiaka maswla mengine na jins serwmali inavyonyonya watu wake nyinyi kutwa zima Simba na yanga

Kweli taifa hili mpk lije kukombolewa Ni baada ya miaka 50

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom