majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 812
Wenzako wanaongelea Port economy wewe unaleta hate propaganda,ulikimbizwa Rwanda for genocide Leo unajifanya mbongo,seems huku hawakujui na idealogue zako za interahamwe...unahitajika arusha mshamba wewe na uache kubadili I'd kila siku
Kwani hakuna uhusiano kati ya nguo za kijani na port economy? Si ndio wanao endesha hizo port?Kwa sababu hiyo siya pendi mashati ya rangi hiyoWenzako wanaongelea Port economy wewe unaleta hate propaganda,ulikimbizwa Rwanda for genocide Leo unajifanya mbongo,seems huku hawakujui na idealogue zako za interahamwe...unahitajika arusha mshamba wewe na uache kubadili I'd kila siku
Naona una fanya attact personalities badala ya fedha za bandari ya Dar kuibiwa.Tabia binafsi ya Kagame siyo issue hapamshamba kagame anayeua binadamu walioumbwa kwa mfano wa mungu ili atawale wasiopenda
Naona una fanya attact personalities badala ya fedha za bandari ya Dar kuibiwa.Tabia binafsi ya Kagame siyo issue hapa
tatizo la wabongo kutotoka nje ya nchi huyu mwizi kagame mnaemsifia huku kwake nae analalamikiwa sasa tu chako ni chako hata kama kibaya chake hakitu saidii
Vyombo mbalimbali vya habari viliripoti kuhusu kauli hii ya Raisi wa Rwanda Paul Kagame kuwa Kuwepo kwa Bandari ya Dar Tanzania ilipaswa kupaa kabisa kiuchumi hasa kutokana na kuzungukwa na nchi kadhaa zinazo tegemea kusafirisha mizigo yake.
Zipo nchi nyingi duniani ambazo kwa bandari pekee zimepata kupaa kiuchumi miongoni mwao ikiwamo Hongkong ,Singapore,Uholanzi nk.Lakini kwanini Tanzania Hatuoni mabadiliko ya kiuchumi yakiwa dhahiri kutokana na bandari hii?
Miradi mingi ya kiuchumi ni mikopo toka kwa wahisani.Barabara kama ya DOM-IRINGA ni mkopo toka Benki ya Africa,na miradi mingi ni mikopo toka kwa wahisani kiasi sasa kila Mtanzania mpaka mtoto mdogo anadaiwa zaidi ya Tsh 450000(laki nne na nusu).Fedha za mapato kama ya bandari hii huenda wapi?Kuna harufu ya ufisadi wa mapato ya bandari kwa kiasi kikubwa.
Napata shaka kuona kuna benk kama M Benki imbayo tawi lake limo ndani ya jengo la ofisi za mapato.Mtu analipia pale na document yake ni halali palepale na mzigo unatoka.
Hii benki niya nani?Benki zingine ukilipia document yake mpaka mpaka iende hazina ku verify ndipo uchukue mzigo.
Naona kama mafisadi wananjia zao za kuchota hela kirahisi kama kupitia benki hii,labda ndiyo maana hatuoni mabadiliko yoyote ya kiuchumi.
Gari moja ndogo inayo pita kwenda nchi nyingine hulipia sichini ya 3000000/=(milioni tatu) na gari pale zinapita kama maji tu.Pita barabara ya Dar-Tunduma uone gari zenye number ya IT utapata picha ya hoja hii pata picha ya 300.
Tanzania ikiuwa wapinzani kama rwanda_______malizia mwenyewe!
Uyo Kagame anawekeza fitina tu ,amna kitu, kwani hii bahari hapaafrika ipo Tanzania tu ?
Huku kwetu huduma za jamii ni za kulipia ila ni zaidi ya hovyo hovyoHuduma za jamii mbovu! Ktk kila watu wa3 kuna mtu mmoja hana kazi! wanaongoza kwa UHALIFU barani AFRICA, huduma za jamii ni bure lakini za hovyo hovyo, shule na hata hospital!