Vipi kauli ya Kagame kuwa Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar, huduma zote Rwanda zingekuwa bure?

Vipi kauli ya Kagame kuwa Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar, huduma zote Rwanda zingekuwa bure?

Wenzako wanaongelea Port economy wewe unaleta hate propaganda,ulikimbizwa Rwanda for genocide Leo unajifanya mbongo,seems huku hawakujui na idealogue zako za interahamwe...unahitajika arusha mshamba wewe na uache kubadili I'd kila siku

mshamba kagame anayeua binadamu walioumbwa kwa mfano wa mungu ili atawale wasiopenda
 
Wenzako wanaongelea Port economy wewe unaleta hate propaganda,ulikimbizwa Rwanda for genocide Leo unajifanya mbongo,seems huku hawakujui na idealogue zako za interahamwe...unahitajika arusha mshamba wewe na uache kubadili I'd kila siku
Kwani hakuna uhusiano kati ya nguo za kijani na port economy? Si ndio wanao endesha hizo port?Kwa sababu hiyo siya pendi mashati ya rangi hiyo
 
mshamba kagame anayeua binadamu walioumbwa kwa mfano wa mungu ili atawale wasiopenda
Naona una fanya attact personalities badala ya fedha za bandari ya Dar kuibiwa.Tabia binafsi ya Kagame siyo issue hapa
 
Naona una fanya attact personalities badala ya fedha za bandari ya Dar kuibiwa.Tabia binafsi ya Kagame siyo issue hapa

hebu tuambia tabia njema aliyonayo kagame kwa taifa la Tanzania? Antamani bandari yetu ili huduma Rwanda ziwe bure, usitamani mali ya mwenzako. Kagema ni zaidi ya shetani
 
tatizo la wabongo kutotoka nje ya nchi huyu mwizi kagame mnaemsifia huku kwake nae analalamikiwa sasa tu chako ni chako hata kama kibaya chake hakitu saidii

Huwezi kulinganisha Kagame na JK.

Jk anapenda kuombaomba huku nyuma Kinana akivuna tembo wetu.
 
Vyombo mbalimbali vya habari viliripoti kuhusu kauli hii ya Raisi wa Rwanda Paul Kagame kuwa Kuwepo kwa Bandari ya Dar Tanzania ilipaswa kupaa kabisa kiuchumi hasa kutokana na kuzungukwa na nchi kadhaa zinazo tegemea kusafirisha mizigo yake.

Zipo nchi nyingi duniani ambazo kwa bandari pekee zimepata kupaa kiuchumi miongoni mwao ikiwamo Hongkong ,Singapore,Uholanzi nk.Lakini kwanini Tanzania Hatuoni mabadiliko ya kiuchumi yakiwa dhahiri kutokana na bandari hii?

Miradi mingi ya kiuchumi ni mikopo toka kwa wahisani.Barabara kama ya DOM-IRINGA ni mkopo toka Benki ya Africa,na miradi mingi ni mikopo toka kwa wahisani kiasi sasa kila Mtanzania mpaka mtoto mdogo anadaiwa zaidi ya Tsh 450000(laki nne na nusu).Fedha za mapato kama ya bandari hii huenda wapi?Kuna harufu ya ufisadi wa mapato ya bandari kwa kiasi kikubwa.

Napata shaka kuona kuna benk kama M Benki imbayo tawi lake limo ndani ya jengo la ofisi za mapato.Mtu analipia pale na document yake ni halali palepale na mzigo unatoka.

Hii benki niya nani?Benki zingine ukilipia document yake mpaka mpaka iende hazina ku verify ndipo uchukue mzigo.

Naona kama mafisadi wananjia zao za kuchota hela kirahisi kama kupitia benki hii,labda ndiyo maana hatuoni mabadiliko yoyote ya kiuchumi.

Gari moja ndogo inayo pita kwenda nchi nyingine hulipia sichini ya 3000000/=(milioni tatu) na gari pale zinapita kama maji tu.Pita barabara ya Dar-Tunduma uone gari zenye number ya IT utapata picha ya hoja hii pata picha ya 300.

Walisha sema "AFRICA IS A BLACK CONTINENT". Hata hivyo ya Kagame ni ya mkosaji. Hakumbuki amezika wangapi kwa ajili ya white house.Na wananchi hawamtaki,nilishashuhudia akirushiwa mawe na chupa za maji huku wakiimba ...the killer,the killer.Mara nasikia wamemzushia kifo.
 
Tanzania ikiuwa wapinzani kama rwanda_______malizia mwenyewe!
 
Si ndio nawashangaa...Kagame angekuwa rais hakuna mpinzani angebaki....awaulize wapinzani wake walio nje ya nchi kama wanalala usiku...na walio ndani wengi ni wa kupandikiza ili wafadhili wake waone anafuata democracy

Tanzania ikiuwa wapinzani kama rwanda_______malizia mwenyewe!
 
Wakati unajadili hilo unapaswa ujue hizo nchi,ukubwa wake na idadi ya watu wake ,Katika Hali ya kawaida Ni sawa na wananchi wa Mombasa kusema kuwa Kama bandarini ya Mombasa ingekuwa Mali ya Mombasa huduma nyingi za kijamii zingekuweza bure,Huyo Kagame kwa nini asifananishe Kenya na bandari ya Mombasa?huyo ni Rais kituko wala hawezi kuwa role model wa watu wenye kuelewa na watu wengi wanaoandika hivyo hawaijui Rwanda vizuri na maisha ya wanyarwanda ,wanaandika habari ila hawajasafiri na kujua Huko watu wanaishi maisha ya namna gani
 
Uyo Kagame anawekeza fitina tu ,amna kitu, kwani hii bahari hapaafrika ipo Tanzania tu ?

Ndio kagame anamapungufu yake lakini kwa kauli yake hiyo anasema kweli, Nchi ina vitega uchumi kibao lakini bure kabisa
 
mtoa mada yupo sahihi // kagame angeliweza bila tatizo lolote kuendesha nchi smoothly tatizo la uongozi na usimamizi bora // HATUA TULIOFIKIA WATANZANIA NI KUPATA KIONGOZI JASIRI (MWENYE KAUKATILI KIDOGO NDANI YAKE) WA KUWEZA KUKATA MIRIJA HII *"KONGWE"* ILIYOKUWA PLANTED NA MAFISADI NA WEZI WA TAIFA
 
Huduma za jamii mbovu! Ktk kila watu wa3 kuna mtu mmoja hana kazi! wanaongoza kwa UHALIFU barani AFRICA, huduma za jamii ni bure lakini za hovyo hovyo, shule na hata hospital!
Huku kwetu huduma za jamii ni za kulipia ila ni zaidi ya hovyo hovyo
 
... Wakuu,

Huwa Natafakari Sana Hii Kauli Ya Kiongozi Makini Hapa Afrika, Ndugu Kagame. Aliwahi Kumwambia Mkuu Wetu Wa Kaya Kuwa Ukiacha Rasirimali Zote Ulizonazo Kama Madini, Maji Na Ardhi, Bandari Tu Ya Dar Es Saalam, Kama Rais Wa Tz Naweza Kuitumia Kwa Ajili Ya Kuwapa Huduma Bure Za Kijamii Wananchi Wangu Wote Bila Wasiwasi.. Cha Ajabu Tuna Rasrimali Nyingi Lakin Kila Kitu Cha Shida, Je Hii Ni Laana Au??

Huwa Natamani Sana Siku Moja Hata Kwa Mwaka Mmoja Kagame Awe Rais Wetu Lakn Ndo Hivyo Haiwezekan. Hata Hapa Kwetu Wapo Viongoz Wazur Kama Kagame Lakin Huwa Hawapati Nafasi.

Natafakari Sana Hiyo Kauli Nzito, Machozi Yananitoka. Yaani Bandari Tu?? Je Madini? Je, Ardhi Yetu Nzuri? Je, Gesi Yetu? Maji Yetu??
 
... Wakuu, Huwa Natafakari Sana Hii Kauli Ya Kiongozi Makini Hapa Afrika, Ndugu Kagame. Aliwahi Kumwambia Mkuu Wetu Wa Kaya Kuwa Ukiacha Rasrimali Zote Ulizonazo Kama Madini, Maji Na Ardhi, Bandari Tu Ya Dar Es Saalam, Kama Rais Wa Tz Naweza Kuitumia Kwa Ajili Ya Kuwapa Huduma Bure Za Kijamii Wananchi Wangu Wote Bila Wasiwasi.. Cha Ajabu Tuna Rasrimali Nyingi Lakin Kila Kitu Cha Shida, Je Hii Ni Laana Au?? Huwa Nataman Sana Siku Moja Hata Kwa Mwaka Mmoja Kagame Awe Rais Wetu Lakn Ndo Hivyo Haiwezekan. Hata Hapa Kwetu Wapo Viongoz Wazur Kama Kagame Lakin Huwa Hawapati Nafasi.. Natafakari Sana Hiyo Kauli Nzito, Machozi Yananitoka. Yaani Bandari Tu?? Je Madini? Je, Ardhi Yetu Nzuri? Je, Gesi Yetu? Maji Yetu??
 
Tatizo la Rais wako Kagame anadhani Tanzania ni kama kanchi kake ambapo kwa hapa Tanzania ni kama wilaya moja tu ya Temeke
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kwa population isiyopishana sana na Dar es salaam ni kweli kabisa Bandari pekee inatosha kuipa Rwanda huduma za jamii bure
 
Back
Top Bottom