Vipi kiwango cha Joash Onyango umekionaje?

Ni beki makini, ila nina wasiwasi na kasi yake kama atakutana na viberenge wanaokimbia kama TK Master wa Yanga.
Afanyie mazoezi ya kukaba kwa kasi, na kuwashinda washambuliaji wenye mwendo kasi kama akina Nchimbi.
Simba wange mzoesha beki Ame Ibrahimu kwakuwa bado kijana hivyo kuweza kikabiliana na wachezaji wanao kimbiza amsaidie Babu Unyango.

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Kwani kuchangia lazima uwataje wachezaji wa Yanga ?!
 
Kama Nchimbi alishindwa kumzidi kasi Wawa huyu ndio atamuweza
 
Kwa mtazamo wangu simba bado simba ina tatizo kubwa kwenye safu ya ulinzi hasa beki wa kati.

Simba ilipaswa kusajili mabeki wawili wa kati wenye urefu wa futi sita
Utakumbuka kuwa magoli mengi ya simba ligi ya mabingwa zile 5 tano 5 ni kutokana na kutokuwa na mabeki wazuri kariba ya vicent bosuu.

Bila mabadiliko na usajili wa mihemuko tutaendelea kushuhudia zile 5 zikijirudia.

Sikuona sababu ya kuendelea kuwa na wawa kikosini.

Kwenye beki ya kati wameshindwa
 
Mkuu kwani si tumeambiwa Onyango ni kijana mdogo ana miaka 24?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…