Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ukiwa kama shabiki wa soka bila kujali unashabikia timu gani, dondosha maoni yako kuhusu uwezo na kiwango cha beki wa kati wa Simba kutoka Kenya Joash Onyango 'Giorgio Chiellini'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana kaba kwa busara ya hali ya juu sana.
Tulioshuhudia mechi ya Ngao ya Hisani jioni hii hapa Arusha tumeridhika na uwezo wake. Ni kisiki haswa
Anakiwango cha SGR. anaruka, anatackling ya hali ya juu, anaelekeza , makini, kwakweli namfananisha na Ferdinand aliekuwa man u.
Kwani kuchangia lazima uwataje wachezaji wa Yanga ?!Ni beki makini, ila nina wasiwasi na kasi yake kama atakutana na viberenge wanaokimbia kama TK Master wa Yanga.
Afanyie mazoezi ya kukaba kwa kasi, na kuwashinda washambuliaji wenye mwendo kasi kama akina Nchimbi.
Simba wange mzoesha beki Ame Ibrahimu kwakuwa bado kijana hivyo kuweza kikabiliana na wachezaji wanao kimbiza amsaidie Babu Unyango.
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Kama Nchimbi alishindwa kumzidi kasi Wawa huyu ndio atamuwezaNi beki makini, ila nina wasiwasi na kasi yake kama atakutana na viberenge wanaokimbia kama TK Master wa Yanga.
Afanyie mazoezi ya kukaba kwa kasi, na kuwashinda washambuliaji wenye mwendo kasi kama akina Nchimbi.
Simba wange mzoesha beki Ame Ibrahimu kwakuwa bado kijana hivyo kuweza kikabiliana na wachezaji wanao kimbiza amsaidie Babu Unyango.
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Ndi atakao kabiliana nao tarehe 18 Octoba 2020.Kwani kuchangia lazima uwataje wachezaji wa Yanga ?!
Mkuu kwani si tumeambiwa Onyango ni kijana mdogo ana miaka 24?Ni beki makini, ila nina wasiwasi na kasi yake kama atakutana na viberenge wanaokimbia kama TK Master wa Yanga.