Vipi kiwango cha Joash Onyango umekionaje?

Vipi kiwango cha Joash Onyango umekionaje?

Sikumsikia ila nilimsikia Eymael akisema washabiki wa yanga hawajui chochote kuhusu mpira, uneducated, wanapiga kelele kama manyani na kubweka kama mbwa
Alisema Simba itakuja kuendelea siku viongozi wasiojua mpira na vilaza watapoondoka pale!
 
Sasa klabu bingwa utafika wapi na mibabu yako ambayo usipoiamkia inakugonga makofi!? We anza tu kujadili itakuwaje akikutana na mwendo Wa Farid Musa!

Hivi hawa babu sindio walikutoboa goli 4 au mnataka tuwaongezee mwaka huu
 
Hivi hawa babu sindio walikutoboa goli 4 au mnataka tuwaongezee m

Acha kusema anapokutana na winga mwenye kasi sema akikutana na "Two Nine TK-Master " Tuisila Kisinda" itakuwaje!?
Jana Master TK alishamzunguka na kumuacha mzee Onyango....ila mzee Onyango alipoanguka akaona isiwe taabu akamshika mguu na kumuangusha Master TK...kwa hiyo faulo imefanywa kwa mkono wa mzee Onyango.....punguzeni mafadha we beki ukitaka kumkaba kwanza unamuamkia shikamoo....!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana Master TK alishamzunguka na kumuacha mzee Onyango....ila mzee Onyango alipoanguka akaona isiwe taabu akamshika mguu na kumuangusha Master TK...kwa hiyo faulo imefanywa kwa mkono wa mzee Onyango.....punguzeni mafadha we beki ukitaka kumkaba kwanza unamuamkia shikamoo....!!!
mkuu taratibu huyu bado kinda ndo ana miaka 18 ujue
 
Onyango ni beki mzuri Kama alivyo Wawa....tatizo Simba liko kwenye kiungo mkabaji...Mkude ndie anaefanya wenzie waonekane uchochoro....muda mwingi hayuko kwenye eneo lake.... anakuwa juu ya eneo lake..hii inawapa wakati mgumu mabeki wa Kati... hasa no nne...kwani inabidi aende kuziba gape... huku aliacha gape....Simba wamesajiri viungo washambuli wengi...wakasau viungo wakabaji... Mkude mwenyewe analazimisha....ni mzuri akicheza Kama kiungo mshabuliaji.....Simba dilisha dogo watafute kiungo mkabaji...na beki mmoja wa Kati...napendekeza beki awe Yondani.
 
Niliwahi kushauri juu ya simba kutafuta mabeki wa kati wawili haraka iwezekanavyo.

.jana wenye macho ya mpira tumeona UBOVU WA MABEKI WA KATI.

KWA WALE MABEKI WAWA NA JOASHI TUKIENDA CAF NI 5.
 
Back
Top Bottom