kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Kina kisinda ni professional players!Kama tuliweza kuwahonga kina MORISON hata kina Kisinda tutawahonga.
Tatizo lenu tunalielewa vizuri kwani kocha wenu aliyeondoka aliliweka wazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina kisinda ni professional players!Kama tuliweza kuwahonga kina MORISON hata kina Kisinda tutawahonga.
Tatizo lenu tunalielewa vizuri kwani kocha wenu aliyeondoka aliliweka wazi.
Tumeshawafunga mara kibao sababu zenu ni zilezile ndio maana kocha aliyeondoka alisema hamjui chochote kwenye mpiraKina kisinda ni professional players!
Kwani uchebe wakati anaondoka alisemaje vile!?Tumeshawafunga mara kibao sababu zenu ni zilezile ndio maana kocha aliyeondoka alisema hamjui chochote kwenye mpira
Sikumsikia ila nilimsikia Eymael akisema washabiki wa yanga hawajui chochote kuhusu mpira, uneducated, wanapiga kelele kama manyani na kubweka kama mbwaKwani uchebe wakati anaondoka alisemaje vile!?
Alisema Simba itakuja kuendelea siku viongozi wasiojua mpira na vilaza watapoondoka pale!Sikumsikia ila nilimsikia Eymael akisema washabiki wa yanga hawajui chochote kuhusu mpira, uneducated, wanapiga kelele kama manyani na kubweka kama mbwa
Alizungumzia viongozi ila kocha wenu alizungumzia washabikiAlisema Simba itakuja kuendelea siku viongozi wasiojua mpira na vilaza watapoondoka pale!
Sasa klabu bingwa utafika wapi na mibabu yako ambayo usipoiamkia inakugonga makofi!? We anza tu kujadili itakuwaje akikutana na mwendo Wa Farid Musa!
Tulioshuhudia mechi ya Ngao ya Hisani jioni hii hapa Arusha tumeridhika na uwezo wake. Ni kisiki haswa
Hivi hawa babu sindio walikutoboa goli 4 au mnataka tuwaongezee m
Jana Master TK alishamzunguka na kumuacha mzee Onyango....ila mzee Onyango alipoanguka akaona isiwe taabu akamshika mguu na kumuangusha Master TK...kwa hiyo faulo imefanywa kwa mkono wa mzee Onyango.....punguzeni mafadha we beki ukitaka kumkaba kwanza unamuamkia shikamoo....!!!Acha kusema anapokutana na winga mwenye kasi sema akikutana na "Two Nine TK-Master " Tuisila Kisinda" itakuwaje!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana Master TK alishamzunguka na kumuacha mzee Onyango....ila mzee Onyango alipoanguka akaona isiwe taabu akamshika mguu na kumuangusha Master TK...kwa hiyo faulo imefanywa kwa mkono wa mzee Onyango.....punguzeni mafadha we beki ukitaka kumkaba kwanza unamuamkia shikamoo....!!!
mkuu taratibu huyu bado kinda ndo ana miaka 18 ujueJana Master TK alishamzunguka na kumuacha mzee Onyango....ila mzee Onyango alipoanguka akaona isiwe taabu akamshika mguu na kumuangusha Master TK...kwa hiyo faulo imefanywa kwa mkono wa mzee Onyango.....punguzeni mafadha we beki ukitaka kumkaba kwanza unamuamkia shikamoo....!!!