Vipi kiwango cha Joash Onyango umekionaje?

Mawazo yako hayo
 
Yaweza kuwa umeongea ukweli kwa mapenzi ulonayo kwa timu yako ya Simba ila subiri mijitusi!
 
Amne ni beki mzuri wana maelewano na Onyango tatizo kubwa ni beki namba tatu Gadiel kiwango kimepungua wakati Shabalala ana tatizo la kujiposition na anapokutana na winga mwenye kasi ni tatizo lakini tatizo kubwa la kocha ni jinsi anavyopanga timu na anavyochelewa kufanya sub hata pale makosa yanapoonekana
 
Comment basi kuhusu Onyango
 
Acha kusema anapokutana na winga mwenye kasi sema akikutana na "Two Nine TK-Master " Tuisila Kisinda" itakuwaje!?
 
Anakaba Hadi penat. Ikibidi wewe na mpira wote anawafyekelea mbali. Yaani kwake ni heri lawama kuliko fedheha
 
Bila kuwahonga kina Morrison dola elfu 5 na kuwarubuni rubuni kina Tshishimbi huna ujanja Wa kushinda wewe!!
Kama tuliweza kuwahonga kina MORISON hata kina Kisinda tutawahonga.
Tatizo lenu tunalielewa vizuri kwani kocha wenu aliyeondoka aliliweka wazi.
 
mnajifanyaga mnajua kushauri na kukosoa benchi nzima la ufundi as if we una Cheti cha ukocha kumbe hata huwezi kupiga danadana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…