Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Mzee kama huyu ulitegemea asiwe na busara kwenye kukaba wakati inajulikana wazee wana busara!?Ana kaba kwa busara ya hali ya juu sana.
Mawazo yako hayoKwa mtazamo wangu simba bado simba ina tatizo kubwa kwenye safu ya ulinzi hasa beki wa kati.
Simba ilipaswa kusajili mabeki wawili wa kati wenye urefu wa futi sita
Utakumbuka kuwa magoli mengi ya simba ligi ya mabingwa zile 5 tano 5 ni kutokana na kutokuwa na mabeki wazuri kariba ya vicent bosuu.
Bila mabadiliko na usajili wa mihemuko tutaendelea kushuhudia zile 5 zikijirudia.
Sikuona sababu ya kuendelea kuwa na wawa kikosini.
Kwenye beki ya kati wameshindwa
Yaweza kuwa umeongea ukweli kwa mapenzi ulonayo kwa timu yako ya Simba ila subiri mijitusi!Kwa mtazamo wangu simba bado simba ina tatizo kubwa kwenye safu ya ulinzi hasa beki wa kati.
Simba ilipaswa kusajili mabeki wawili wa kati wenye urefu wa futi sita
Utakumbuka kuwa magoli mengi ya simba ligi ya mabingwa zile 5 tano 5 ni kutokana na kutokuwa na mabeki wazuri kariba ya vicent bosuu.
Bila mabadiliko na usajili wa mihemuko tutaendelea kushuhudia zile 5 zikijirudia.
Sikuona sababu ya kuendelea kuwa na wawa kikosini.
Kwenye beki ya kati wameshindwa
Comment basi kuhusu OnyangoKwa mtazamo wangu simba bado simba ina tatizo kubwa kwenye safu ya ulinzi hasa beki wa kati.
Simba ilipaswa kusajili mabeki wawili wa kati wenye urefu wa futi sita
Utakumbuka kuwa magoli mengi ya simba ligi ya mabingwa zile 5 tano 5 ni kutokana na kutokuwa na mabeki wazuri kariba ya vicent bosuu.
Bila mabadiliko na usajili wa mihemuko tutaendelea kushuhudia zile 5 zikijirudia.
Sikuona sababu ya kuendelea kuwa na wawa kikosini.
Kwenye beki ya kati wameshindwa
Acha kusema anapokutana na winga mwenye kasi sema akikutana na "Two Nine TK-Master " Tuisila Kisinda" itakuwaje!?Amne ni beki mzuri wana maelewano na Onyango tatizo kubwa ni beki namba tatu Gadiel kiwango kimepungua wakati Shabalala ana tatizo la kujiposition na anapokutana na winga mwenye kasi ni tatizo lakini tatizo kubwa la kocha ni jinsi anavyopanga timu na anavyochelewa kufanya sub hata pale makosa yanapoonekana
Inspector Haroun -- BABUUUUU.Ukiwa kama shabiki wa soka bila kujali unashabikia timu gani, dondosha maoni yako kuhusu uwezo na kiwango cha beki wa kati wa Simba kutoka Kenya Joash Onyango 'Giorgio Chiellini' View attachment 1553311
Acha kuishi kwa kukariri naongelea michuano ya klabu bingwa afrika wachwzaji wa ligi hawatusumbuiAcha kusema anapokutana na winga mwenye kasi sema akikutana na "Two Nine TK-Master " Tuisila Kisinda" itakuwaje!?
Mababu waliwapiga nne au mnajifanya mmesahauInspector Haroun -- BABUUUUU.
Sasa klabu bingwa utafika wapi na mibabu yako ambayo usipoiamkia inakugonga makofi!? We anza tu kujadili itakuwaje akikutana na mwendo Wa Farid Musa!Acha kuishi kwa kukariri naongelea michuano ya klabu bingwa afrika wachwzaji wa ligi hawatusumbui
Bila kuwahonga kina Morrison dola elfu 5 na kuwarubuni rubuni kina Tshishimbi huna ujanja Wa kushinda wewe!!Mababu waliwapiga nne au mnajifanya mmesahau
Na mwalimu kijana Sven asipowapa shikamoo on time wana mdunda makofi!Anakaba Hadi penat. Ikibidi wewe na mpira wote anawafyekelea mbali. Yaani kwake ni heri lawama kuliko fedheha
Na mwalimu kijana Sven asipowapa shikamoo on time wana mdunda makofi!
Kama tuliweza kuwahonga kina MORISON hata kina Kisinda tutawahonga.Bila kuwahonga kina Morrison dola elfu 5 na kuwarubuni rubuni kina Tshishimbi huna ujanja Wa kushinda wewe!!
Wewe ni wa hapahapa kagera, mbeya, mara na rukwaSasa klabu bingwa utafika wapi na mibabu yako ambayo usipoiamkia inakugonga makofi!? We anza tu kujadili itakuwaje akikutana na mwendo Wa Farid Musa!
mnajifanyaga mnajua kushauri na kukosoa benchi nzima la ufundi as if we una Cheti cha ukocha kumbe hata huwezi kupiga danadanaKwa mtazamo wangu simba bado simba ina tatizo kubwa kwenye safu ya ulinzi hasa beki wa kati.