Hapo ndio naikumbuka ile nyimbo ya ya Mwana FA na AY inaitwa usije MjiniKuna tozo huwa zinawekwa lengo kuu ni kupunguza watu sio kuongeza mapato
Kwani tsh mnatozwa huko mjini mkuu?Naomba tusaidiane kimawazo hii kodi ya kibali cha kuingia mjini kwa wenye pikipiki imewekwa kwa ajili ya kuleta maandeleo kwa Dar es Salaam au imewekwa kwa ajili ya matumbo ya watu binafsi au kumkandamiza Mwananchi?
Inawezekana vipi mtu ananunua usafiri wake kisha analipia bima, sumatra, nenda kwa usalama, ambazo zote ni kodi haitoshi anazuiwa kuingia mjini eti mpaka alipie kibali cha kuingia mjini hili limekaaje nduguzangu?
Ili uingie mjini na Pikipiki inatozwa tsh 180,000 kwa mwaka mkuuKwani tsh mnatozwa huko mjini mkuu?
... kama alivyosema mdau hapo juu lengo ni ku-discourage watu kwenda mjini na pikipiki. Ni vurugu sana hawa jamaa.Ili uingie mjini na Pikipiki inatozwa tsh 180,000 kwa mwaka mkuu
Si kila anaeingia mjini na pikipiki anavurugu mkuu... kama alivyosema mdau hapo juu lengo ni ku-discourage watu kwenda mjini na pikipiki. Ni vurugu sana hawa jamaa.
... Mkuu vurugu namaanisha wingi wa vyombo; huyu kakatiza hapa, yule kule, wengine wanapita katikati ya magari kwenye foleni, vichochoro, n.k. alimradi kila mmoja awahi anapokwenda ndio vurugu zenyewe hizo. Sikumaanisha kurushiana ngumi.Si kila anaeingia mjini na pikipiki anavurugu mkuu
... Mkuu vurugu namaanisha wingi wa vyombo; huyu kakatiza hapa, yule kule, wengine wanapita katikati ya magari kwenye foleni, vichochoro, n.k. alimradi kila mmoja awahi anapokwenda ndio vurugu zenyewe hizo. Sikumaanisha kurushiana ngumi.
... tatizo sio usimamizi wa sheria tu Chief; miundombinu iliyopo nayo sio rafiki kwa bodaboda. Sijui nchi nyingine huko kukoje kuhusiana na usafiri wa bodaboda kwamba wanajichomekachomeka ovyo popote wanapotaka au wana njia zao, n.k?NI UONEVU TU.
SHERIA ZISIMAMIWE TU, KWA ANAYEKWENDA KINYUME - FAINI.
SIYO KUWAZUIA WATU KUTUMIA NYENZO WALIZO NA UWEZO NAZO.
SWADAKTA MKUUNI UONEVU TU.
SHERIA ZISIMAMIWE TU, KWA ANAYEKWENDA KINYUME - FAINI.
SIYO KUWAZUIA WATU KUTUMIA NYENZO WALIZO NA UWEZO NAZO.
Kama umewazuia kuingia mjini unategemea rizki wakapate wapiTuulize sie tunavyoibiwa na hao bodaboda huk mitaani mkuu...simu ikiita ukiitoa tu haipo huko mjn si ndo itakua balaa
Ni kweli aisee ukianza kushangaashangaa mishangao haitaisha mpaka unaingia kaburini.hii nchi ukiifikiria sana unaweza kufa siku si zako....fanya yako tu mdau na uhakikishe mkono unaenda kinywani
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]eti sio kurusha ngumi.... Mkuu vurugu namaanisha wingi wa vyombo; huyu kakatiza hapa, yule kule, wengine wanapita katikati ya magari kwenye foleni, vichochoro, n.k. alimradi kila mmoja awahi anapokwenda ndio vurugu zenyewe hizo. Sikumaanisha kurushiana ngumi.
Huo ni mradi wa kueatajirisha watu fulani wa Halmashauri ya Jiji ls Dsm. Hakuna mantiki mtu amenunua usafiri wake halafu unamzuia asiende mjini wkt tayari ameshalipia kodi za aina mbalimbali. Nasikia harufu ya *ufisadi* ndani ya halmashauri ya Jiji la DsmNaomba tusaidiane kimawazo hii kodi ya kibali cha kuingia mjini kwa wenye pikipiki imewekwa kwa ajili ya kuleta maandeleo kwa Dar es Salaam au imewekwa kwa ajili ya matumbo ya watu binafsi au kumkandamiza Mwananchi?
Inawezekana vipi mtu ananunua usafiri wake kisha analipia bima, sumatra, nenda kwa usalama, ambazo zote ni kodi haitoshi anazuiwa kuingia mjini eti mpaka alipie kibali cha kuingia mjini hili limekaaje nduguzangu?