kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,423
- 3,414
Ni sheria mbovu sijapata kuiona,ni sheria iliyokosa utaratibu,haiwekani mwenye bodaboda akazwe,na MTU anaetumia Pikipiki yake kama chombo rasmi cha kumfikisha kazini nae atozwe,ili hali kwenye mshahara wake ameshakatwa kodi,wangewafanyia hivyo wanaotumia kuchukua abilia