Vipi kuhusu hiki kibali cha kuingia mjini kwa wenye pikipiki?

Ni sheria mbovu sijapata kuiona,ni sheria iliyokosa utaratibu,haiwekani mwenye bodaboda akazwe,na MTU anaetumia Pikipiki yake kama chombo rasmi cha kumfikisha kazini nae atozwe,ili hali kwenye mshahara wake ameshakatwa kodi,wangewafanyia hivyo wanaotumia kuchukua abilia
 

KWELI MKUU
 
Shida si kukusanya kodi shida ni pale wanapojitoa akili na kuleta bugdha mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…