FOX21
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 493
- 916
Ndugu zangu tangu ajali ya ndege iliyo tokea hapa majuzi ni mengi yamejadiliwa, bla !bla ! Ni nyingi Hadi muda huu. Ok let's get to the point!
Leo nikiwa nimetulia Kuna wazo limenijia, kuhusu mchumba wa huyu shujaa wa Tz( Majaliwa). Vipi kuhusu shemeji yetu yupo anamsaidia kuzitafuna noti? au ndio hvyo tena kijana ameupgrade from kuanika dagaa to mjeda--bungeni.
Au kijana atatafta mchumba wa level yake kwa sasa?
Ndugu yetu kwenye hili itabindi tumpe ushauri🙇🙇