[emoji23][emoji23][emoji23] eti minyang'auKabisa, upo saihi. Mungu amuepushe nahii minyang'au minjaa kali ya Bongo movie
Ni vizuri kuwaza juu ya hatima ya ndugu yetu Majaliwa, miji imejaa mapapa[emoji23][emoji23][emoji23] mashemeji mna kiranga nyie....
Mwamba akituliza akili, anatoka kimaisha hata hiyo ajira sio kitu kwa michango ya shukrani anayopata ningekuwa mie hata sina haja ya ajira, .. najua tayari ana karibia hata 50million au na zaidiJe kama alikua hana demu😁😀😁
afu mwamba kafanana na ibraah wa konde boi
Kbsa yaan tatzo apo shida za ukoo zote atapewa yy maana apo anaonekana wa maana sasaMwamba akituliza akili, anatoka kimaisha hata hiyo ajira sio kitu kwa michango ya shukrani anayopata ningekuwa mie hata sina haja ya ajira, .. najua tayari ana karibia hata 50million au na zaidi
Unafikiri na utajiri wake atafika Billion?Twende mbele turudi nyuma lakini mazali yapo real... ujui kesho yako itakuwa na rangi gani