Vipi kwa bei hizi za vyakula bado wakulima mnatuita washamba?

Vipi kwa bei hizi za vyakula bado wakulima mnatuita washamba?

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
704
Reaction score
2,435
kuna mtazamo flani jamii ya tanzania imekuwa nao kwa miaka miaka mingi, unapomwambia mtu wewe ni mkulima anakutazama kama mtu flani umechoka, umepoteza mwelekeo , hauna macho ya kuona fursa, ulishindwa maisha ukachagua kilimo kama njia ya mwisho, neno mshamba limekuwa connected na mtu wa kijijini ambaye hana njia nyingine ya kutafta pesa na hana ujanja wowote.

Ukienda ofisi yoyote kama kuna usajili au lolote linafanyika na wewe hauna kazi malumu basi unasajiliwa au unatambulishwa as mkulima huu mtazamo vip bado unao na unatuonaje wakulima miaka hii bado tumechoka ee, hatuna macho ya kuona fursa , unahisi ni jambo gani ambalo wewe unaweza kufanya kupitia hizo dili zako wakulima miaka hii hawafanyi ,

Unajisikiaje unaponunua vyakula na unakutana na bei, vip bado unamini wanaopata pesa kupitia kilimo ni wafanyabiashara na wakulima wao ni kusota tu?

Basi kama una mtazamo hasi kuhusu wakulima pita mikoa ya nyanda za juu kusini ukutane na wakulima utajifunza kitu
 
Ni wakati wa wakulima kuwamatajiri...

Na mvua zina endelea... kilimo sasa kina tija kweli...

Uchumi una imarika, tuna ishi juu ya dollar(USD) moja tupo uchumi imirivu nazani wakati...

Tulipo sio pabaya
 
Mkulima anabaki kuwa mkulima. Mwezi wa saba mtanunua mchele kwa 1000, na unga kwa 500. Haha hivyo kuna wakulima kibao tu anakuja good life kuliko nyie mnaotembea na vyeti mkitafuta kazi
 
Ni wakati wa wakulima kuwamatajiri...

Na mvua zina endelea... kilimo sasa kina tija kweli...

Uchumi una imarika, tuna ishi juu ya dollar(USD) moja tupo uchumi imirivu nazani wakati...

Tulipo sio pabaya
Malizia hongera kwa Mama!
 
Back
Top Bottom