Vipi magabacholi wako wapi mbona hatuwaoni mitaani au weshasepa kama kawaida yao?

Vipi magabacholi wako wapi mbona hatuwaoni mitaani au weshasepa kama kawaida yao?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Kichwa cha habari kiko wazi. Wako wapi magabacholi mbona hatuwaoni mitaani nao wakiandamana au weshafanya yao kama kawaida yao. Nao, tukimalizana na wanasiasa, tuwatembelee wajue hawajui na warudi kwao. kuanzia Zanzibar hadi India. Au vipi>
 
Magabacholi hawapo polisi, jeshini, wala mtaani never ever. Wao ni kusapoti CCM na kumind their own business (milking the country).
 
Wako wapi magabacholi

Acha ubaguzi, adui wetu ni chama dola CCM.

Msitake sababu kuwagawa watanzania, mkitoka kwa hao mtasema waislamu hivi au wakristo ndiyo wanaoandamana n.k

Michezo yenu ya ki Intarahamwe ili watanzania wapigane kikabila, kikanda, kiasili, kidini ni michezo hatari sana mnayofanya CCM
 
Saa ya Ukombozi Ni Sasa ! Mkoloni CCM Saa Yake Imetimia Ya Kuondoka Madarakani !

Aluta Continua, Struggle Must Continue, Mapambano Ya Mabadiliko Lazima Yaendelee

Falsafa kuwa mtu mweusi hawezi kuwa mkoloni wa weusi wenzie ni potofu. Ukoloni ni ukoloni tu


Amsha amsha ya hotuba ya mpigania ukombozi aliyekuwa na makazi yake Dar es Salaam kuendesha vuguvugu la kuondokana na ukoloni mkongwe :

TUJIULIZE PIA UKOLONI WA MTU MWEUSI DHIDI YA MWEUSI BAADA YA UHURU

Samora Machel : Ukoloni wa kiFikra


View: https://m.youtube.com/watch?v=Omh25kcA1Lw

Katika hotuba yake motomoto kuhusu kutawaliwa, alihoji vipi mwafrika aliyetawaliwa na mfaransa akajiona bora kuliko mwingine kwa kuwa Ufaransa wana tamaduni bora zaidi ya uandishi wa mistari ya mashairi ya mapendo kwa umahiri wa kisomi.


Samora Machel anazidi kuwaza hata wale waliotawaliwa na muingereza wajiona wao ni bora kwa vile Uingereza ilitawala nchi nyingi zaidi na inasemekana ni wazungu 'wastaarabu' zaidi.

Samora Machel anatuasa ingawa Portugal ni nchi masikini zaidi ktk ulaya lakini ni nchi iliyoendekeza ukoloni kama Ufaransa, Uingereza na Ureno / Portugal na sifa za nchi zote hizo za ulaya ni kuwa ziliendekeza ukoloni.

Samora Machel anapigia mstari neno ukoloni na kuwa ukoloni ni unyama hauna utu hivyo kujisifia wewe ni zao la ukoloni huu au ule wenye hadhi ya juu ni kukosa fikra sahihi.
Kazi na Utu tunatiki ni kauli mbiu ya CCM ya uongo View attachment 3490727
Hivyo maneno ya Samora Machel anasisitiza tuamke na kuwa mapambano lazima yaendelee (2025) dhidi ya ukabila, ujinga, maradhi, njaa, ushirikina na mawazo potofu ya kukumbatia ukoloni wa aina yoyote.

Anamalizia kuwa ukoloni wowote hauna usafi wa kujivunia kwani ni Ukoloni unaogandamiza jamii zingine na kuzigawanisha.
 
Hatima yetu tunayo mikokoni mwetu sisi wenyewe kuingoa CCM

TOKA MAKTABA :
Mistari ya wanamuziki wa Tanzania, vijana enzi ya Nyerere ambayo yanaelemisha hadi leo hii kizazi chetu kuhusu kujikomboa kutoka makucha ya mkoloni, hapa hata mkoloni mweusi aliye CCM anayekandamiza umma wa waTanzania bado ni mkoloni haijalishi rangi wala nini bado ni mkoloni :

Ukombozi wa Afrika - Afro 70 Band

View: https://m.youtube.com/watch?v=CusrvwChw3g

Mapinduzi ya Afrika
Ambayo Lengo lake
Ni Ukombozi kamili wa Mwafrika
Yanapingana Na Siasa,
Za Unyonyaji
Za Ukoloni Mambo Leo
Na Ubeberu

Afrika!
Shabaha Kuu Ya Mapinduzi Afrika,
Ni Kumkomboa Mwafrika Eeh,
Watalaamu Wa Ukombozi Ni Sisi Wenye,
Tunao Nyonywa, Kunyanyaswa
Na Kuonewa,

Eeh Afrika Bado Bara La Watu, Waliomo Katika Unyonge, Wa Kuoonewa Na Kunyanyaswa,

Kutakuwa Hakuna Taifa Lolote Ulimwenguni la Kutufundisha Afrika Jinsi Ya Kujiokoa ...

Wajibu Wa Kujikomboa,
Tupata Katika Mapambano Hayo Yenyewe .......
 
Acha ubaguzi, adui wetu ni chama dola CCM.

Msitake sababu kuwagawa watanzania, mkitoka kwa hao mtasema waislamu hivi au wakristo ndiyo wanaoandamana n.k

Michezo yenu ya ki Intarahamwe ili watanzania wapigane kikabila, kikanda, kiasili, kidini ni michezo hatari sana mnayofanya CCM
Tanzania imegawika kwa mujibu wa tabaka. Ni nchi ya kitabaka class society
Nenda kule Oysterbay au Sinza etc etc ni nani WALIO WENGI? SIO HAO MNAOWAITA GABACHOLI !!! Walio wengi ni mamilionea wa kila kabila na kila rangi !!!
Hali kadhalika na maduka ya Kariakoo na kote nchini
 
Back
Top Bottom