Vipi mliochungulia salary ya July 2023, kuna nyongeza?

Vipi mliochungulia salary ya July 2023, kuna nyongeza?

Acheeni kelele msije fanya mchele ukapanda Kama zamani tunaoumia ni sisi walipa Kodi na sio nyie
Nje ya mada, wafanyakazi ni walipa kodi wakubwa kwa ratio ambayo ni kubwa kuliko mfanya biashara yeyote
Mf: mfanyakazi akiwa na mshahara wa shs milioni mbili (2mil) ujue ataishia kupokea kwenye 1.5mil; zaidi ya laki nne yote ni kodi na ina katwa juu kwa juu (hakuna ukwepaji) kila mwezi inamaana kwa mwaka analipa kodi ya zaidi ya shs milioni tano kutoka kwenye mshahara; hapo sijataja makato mengine madogo madogo.
Ni mfanya biashara gani mwenye kipato cha shs milioni mbili kwa mwezi analipa kodi serikalini ya zaidi ya shs laki nne kwa kila mwezi?
 
Umetumia energy kubwa sana mkuu kumuelekeza mpumbavu, Mimi kwenye mshahara wangu kodi peke yake ni zaidi ya laki mbili kwa mwezi achilia mbali makato mengine Kama bima ya afya na hifadhi ya jamii, lakini pia kwenye side hustle yangu kodi ni laki 2.5 plus zuio ya kodi la jengo na 1% Yao ile. Nakatwa pesa nyingi za kodi kwenye mshahara kuliko biashara japokuwa biashara inaingiza faida kubwa kuliko mshahara nilionao kwa mwezi.
 
Kama mnahaha hivi kwa nini mkulima akipata mteja wa nchi za nje akafurahia nyongeza ya faida nyie mnakurupuka kufunga mipaka?
Kiukweli kwa hapa Tz nimefanya Kilimo sana na Wakulima wakubwa huku Mashambani ni hao Watumishi wa Umma. Ukiona shamba kubwa sana ujue la Waziri,Mkuu wa Mkoa au Wilaya au Watumishi wa vyeo vya Juu na Mashamba ya kawaida ni hao Wafanyakazi wa kati na wa chini ukijumlisha Wafanyabiashara yaani wachache.Kwa ufupi Wakulima wa Bongo ndiyo hao hao Waajiriwa wa serikali na sector binafsi .Ukiwa upo town ukiwatembelea Mwisho wa juma utasikia Baba kaenda shamba.
 
Nmechungulia huko jikoni lakin naona jikoni Moshi mwingi sana ila nikapambana sana kuchungulia zaidi nikaona ajila mpya, na uteuzi mpya ndo unachemka
 
Back
Top Bottom