Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Libibi FC from Puerto Rico
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wafanyakazi hawalipi Kodi???Acheeni kelele msije fanya mchele ukapanda Kama zamani tunaoumia ni sisi walipa Kodi na sio nyie
Nje ya mada, wafanyakazi ni walipa kodi wakubwa kwa ratio ambayo ni kubwa kuliko mfanya biashara yeyoteAcheeni kelele msije fanya mchele ukapanda Kama zamani tunaoumia ni sisi walipa Kodi na sio nyie
Kama hujui kinachojadiliwa kaa kimya kuku mmoja weweHahahahaha!! Kuajiriwa mtihani mno. Leo tarehe 15 unaulizia Salary Kweli?
Pole kiongozi wala uwazi kuwa kesho kazi zako zitaendaje?
Nje ya mada, wafanyakazi ni walipa kodi wakubwa kwa ratio ambayo ni kubwa kuliko mfanya biashara yeyote
Mf: mfanyakazi akiwa na mshahara wa shs milioni mbili (2mil) ujue ataishia kupokea kwenye 1.5mil; zaidi ya laki nne yote ni kodi na ina katwa juu kwa juu (hakuna ukwepaji) kila mwezi inamaana kwa mwaka analipa kodi ya zaidi ya shs milioni tano kutoka kwenye mshahara; hapo sijataja makato mengine madogo madogo.
Ni mfanya biashara gani mwenye kipato cha shs milioni mbili kwa mwezi analipa kodi serikalini ya zaidi ya shs laki nne kwa kila mwezi?
😅😅😅Vipi kwa wale mlio na "macho marefu" mpaka huko jikoni je yaliyomo yamo?
Hakuna mtu analipa Kodi ktk nchi hii Kama mtumishi mkuu..Acheeni kelele msije fanya mchele ukapanda Kama zamani tunaoumia ni sisi walipa Kodi na sio nyie
Kiukweli kwa hapa Tz nimefanya Kilimo sana na Wakulima wakubwa huku Mashambani ni hao Watumishi wa Umma. Ukiona shamba kubwa sana ujue la Waziri,Mkuu wa Mkoa au Wilaya au Watumishi wa vyeo vya Juu na Mashamba ya kawaida ni hao Wafanyakazi wa kati na wa chini ukijumlisha Wafanyabiashara yaani wachache.Kwa ufupi Wakulima wa Bongo ndiyo hao hao Waajiriwa wa serikali na sector binafsi .Ukiwa upo town ukiwatembelea Mwisho wa juma utasikia Baba kaenda shamba.Kama mnahaha hivi kwa nini mkulima akipata mteja wa nchi za nje akafurahia nyongeza ya faida nyie mnakurupuka kufunga mipaka?
Hizo figures ni za mwaka Jana sio mwaka huu
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee nimetoka kuchungulia muda huu kwenye kibuyu! Hakuna hata 100 mbovu imeongezeka. Nimemuuliza Mama kulikoni? Kanijibu kwa ufupi tu, kazi iendelee!!
Mkuu umenichekesha Sana, subiri watakuja tu wajuzi wa mamboVipi hakuna majibu
Kaa mchezo mchezo yuko ndani ya Bajaj halaf Alteza inamgonga hivihivi......ishikilie japo kidogo akili aliyokupa Mungu.